Pinned Tweet
Mapema leo March 6, 2024. Nikiwa na na Rais wa Simba Mo Dewji ambae alikuwa mgeni wa heshima Katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya siku ya mwanamke duniani
Iliyofanyika AKEMI - REVOLVING RESTAURANT
Sheila Mchamba retweeted
Happy reborn day kwako @SheilaMchamba Lastborn wa Chama. Nakutakia maisha marefu, afya njema, furaha na mafanikio katika mapambano
Mungu azidi kukuongoza, kukulinda na kukubariki katika majukumu yako. Have a beautiful birthday! Mwenye wivu hawezi kutona vizuri hapo F2 😂
Siku 577, sawa na mwaka mmoja na miezi saba ya kuhudhuria kesi ya uhaini ya Mwenyekiti Lissu, hatimae kuambiwa kosa ni la uchochezi😁 Anyways #LISSUSIOMHAINI and it has been proven beyond reasonable doubt
Today, two years ago.
#DearNyerere watu wa chama chako hawataki kushindana kwenye uchaguzi.
Hawataki kabisa kabisa
Behind the scene😂😂
Anyways #FreeLissu
#Lissusiomhaini
Mwenyekiti anaendelea kukazia kuwa TUSIOGOPE, TUTASHINDA📌.
Mahakama imetangaza kuwa hukumu ya kesi no 19605/2025 itatolewa Nov 6 2026
"Miaka 60 iliyopita kuna mhaini alifungwa kifungo cha maisha SA, kabla hajahukumiwa alisema maneno ambayo naomba kuyafanya
yawe maneno yangu leo, "I have fought against white domination and against blood domination, and my Lords, it is an ideal I am prepared to die for" -Mandela
You have prepared to die!?
Mwenyekiti: Absolutely,
Nipo na risasi 16 za kuthibitisha hilo.
Nina risasi moja mgongoni.
Tusiogope📌
pale ambapo familia inakutegemea kwenye mapambano ya hili taifa.
Ukizima alarm unakuja kuamshwa live uende mahakamani😂🤦♀️
Sheila Mchamba retweeted
“Jamani nina kwetu
Nina kwetuuuuu
Na niliaga vizuri, na ndio maana wa kwetu wapo hapa”. TUNDU LISSU akiwasili mahakamani
Briefing kidogo juu ya kesi namba 19605/2025 ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA - Taifa Tundu Lissu tangia alipokamatwa mpaka leo hii kwenye final submission
Sheila Mchamba retweeted
Hatutaki kuonekana tofauti, lakini Katibu Mkuu akizungumzia masuala ya Chama na kujaribu kuokoa mifarakano ndani ya Chama, nanyi mnampinga? 🤔
Kuna ajenda yenu au?
Kuna namna Mnyika anampigania sana Nabii,
@mangekimambi amepewa Taarifa na watu wasiopenda haya madudu anayofanya Lema,
Mnyika yeye ame verify taarifa ya Mange kwa kumuuliza nani Lema ? au Kikwete ?
Haya mambo ya Lema ajibu Lema mwenyewe, wakati anatukana watu mtandaoni hapo hakuja na kofia ya CHAMA alifanya kama LEMA
Hii ya Lema kumsumbua mnyika kwa kila Spana anazopigwa haiko sawa, Najua Tweet nyingi sana ambazo zimefutwa humu alizopelekewa moto LEMA sababu ya simu alizopiga Mnyika kwa watu waliopost
Bwana @jjmnyika ni wakati ukamuacha lema akajitegemea kwenye mambo yake anayofanya, wewe sio caretaker wa Lema, suala la lema kukaa vikao linahusika vipi na Position yako kama Katibu Mkuu wa CHADEMA?
Msimkingie kifua lema, na mwacheni aongee na vyombo vya habari, hii biashara ya kutishana tishana lazima iishe, fanya majukumu yako ya CHAMA, kama kweli unajali anachofanya Lema basi ungefanunua na matusi mengine kwa umma kama umekubaliana nayo , ungetueleza kuhusu suala la SEA CLIFF
Hata Mbowe wacha ajijibie mwenyewe na wengine wote
Heche amepewa Tuhuma nyingi ikiwemo hiyo ya Passport kwamba amepewa na Mkuu wa Usalama wa Taifa, mtoa Tuhuma ni Lema, hii unaona ni sawa ukutakiwa fafanua hii issue mbaya hivyo? utafafanua mambo mangapi anayofanya Lema kwenye whatssApp na hapa Twitter ? na kwa nini Lema tu ndiye anayekingiwa kifua? wengine wanapigwa vibaya sana humu huko kimya
sasa tuambie tuhuma za Lema kwa Heche ni sawa? Ilikuwa Sawa , Lema kuongelea suala la Passport ya Heche ? au huu umoja mnazungumza ni upi? we are not stupid




















