Pinned Tweet
Ukipata changamoto usiwahi kumwambia mama yako sababu yeye anaumi mara mbili yako na ukipata jambo la kheri mtu wa kwanza kumwambia ni mama yako sababu yeye ndiye atafurahia zaidi kuliko mtu yoyote.
Makomandoo tuliowatuma kwenda kupambania ndoto zao wamerudi sasa hakuna kupumzika ni kelele kuanzia asubuhi mpaka saa sita usiku watundu na hawasikii miezi miwili mpaka iishe tumejuta
17
Neema huwezi kuijua mpaka uikose hicho ulichokua nacho huwezi kukithamini mpaka kiondoke kikishaondoka ndio akili inajua kumbe kilikua muhimu ila kwa sababu kipo kila siku unaona hakina maana yoyote
Mtu anapiga simu usiku huu analia anasema kaachwa bila sababu nimemwambia tatizo unene apunguze mwili ameniblock kosa langu kusema ukweli
150
Ukidate na muhuni kumove on huwa ni kipengele wana mahaba sana wakati mtoto wao bado mdogo Faiza alishaandika kabisa jamaa anajua kupenda balaa yeye ndio alizingua ila Jongwe pia alimpenda Faiza mnooo mnoo sema ndio hivyo muhuni akichomoa anachomoa kwelikweli huwa hawageuki
Ni wanaume wachache sana wanaweza kuongea huu ukweli wapo watakaoupingana nae ila huu ndio ukweli
98
Wanawake tafuteni hela si mnaona hapo mpaka jamaa anatetemeka ukute alisogea kumuuliza kuondoka sh ngapi 🤣🤣🤣
Admin wa nida tanesco na yas huko tiktok wana mchuoano mkali wa nani zaidi admin wa nida kamjibu admin wa tanesco kuwa kitambulisho chake kimewafikia chap kama ahadi za ex wake huku tanesco anamwambia atachagua amuwashie nida umeme au amuwashie wa ngorongoro wamulike wanyama
1
1
218
Vitu nilivyofanikiwa kuvicontrol ndani ya hii miaka mitatu ni hasira pamoja na kujioverthink hasira zilikua zinanifanya mpaka nakosa haki zangu nilikua naonewa ila hasira zinafanya nionekane mimi ndio mwenye makosa kitu cha muhimu unapaswa kufanya ni kucontrol hasira zako
Diamond na hela zote alizonazo kweli kashindwa kununua vyombo vizuri vya kuvutia kashindwa kununua ya mahotpot classic akawawekea wageni mimi na ufukara wangu ila kiukweli kwenye upande wa vyombo vizuri navijaza ndani kwangu sasa super star mkubwa unakua na vyombo kama vile kweli
3
146









