Mstaafu (@TanzYetu) header
Mstaafu (@TanzYetu) profile picture

#TheTruthTeller A leader of People | #SisiTutaongea | Pan-Africanist | Finally We Shall All Die

Mwanza, Tanzania
Joined May 2025
Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)Photo by Mstaafu (@TanzYetu)
Unaponzwa na circle iliyokuzunguka. Huwezi kuwa na hoja ya maana ukishaanza kuongea dini. Lakini endelea maana inaonesha pia kiwango cha uelewa.
𝐍𝐀𝐖𝐀𝐉𝐔𝐙𝐀: Tajiri wa mwisho wa Kikristo aliyepambana na Manji, Rostam, Subhash Patel ni Dr. Reginald Mengi, alimuinua Godfrey Simbeye wa TPSF amsaidie ikakataa Kwenye kitabu cha I CAN, I MUST, I WILL Mengi anasema muda mrefu wa darasani hukwamisha wakristo kuwa matajiri
1
55
Pazia limepulizwa na upepo wacha tuone chumbani
64
Amesema amekusamehe.
“Much love, my friend—I miss you deeply. You are still one of the finest brains this country has. I’m keeping you in my prayers—may God give you the courage, strength, and resilience to rise above every challenge before you.”
1
40
TIBISII UKWELI NA UHAKIKA
1
75
Chande ni raia wa nchi gani?
1
1
99
Rais wa kuchaji anakuja lini mtaani tumpongeze?
1
227
Kuwa mwanachama wa CCM kuna baadhi ya vigezo lazima uwe navyo. Uchawi, Unafiki na Uganga hasa. Ukiwa na vyote hapo unakuwa kiongozi kabisa. Wachawi watabisha
Ndugu zangu Watanzania, huyu ndugu anaitwa George Wayanga amewahi kuwa kiongozi mkubwa chadema Chunya. Baada ya kupata tatizo na kukatwa mguu, chadema imemtupa. Sasa anahitaji msaada wetu Watanzania. Mwenye chochote anaweza kumchangia kwa M-PESA 0760638604 Jina George Wayanga.
216
Umeacha kusukuma # unasukuma ushoga
Kwa namna alivyo nitukana lazima JANJA nimrecord, lazima niwa bless wanangu ka connection, akizungusha shanga Kwenye Uno lake..!! Leo nataka Heshima sina maneno Mengi.
485
Mzee wetu ashatubariki tayari kuelekea mandamano ya amani #D9 SIKU YA KESHO mimi mimeandaa mabango yangu kama yote nasubiri kesho #tutakuwepo @HildaNewton21 @MariaSTsehai @ClubMagufuli @TanzYetu
4
13
454
Siku nyingine aje na dela
5
206
Rais wa kwanza kuwehuka
1
1
9
326
GWAJIMA: Fungeni kanisa milele lakini utekaji hakubaliki. SERIKALI: Kuliko tuache kuteka watu bora tukufungulie kanisa. HII NDIO TAFSIRI NYEPESI YA KUFUNGULIWA KWA MAKANISA YA ASKOFU GWAJIMA LEO. #D9
4
23
1
71
1,679
Madelu anamaanisha sherehe za Uhuru zinapisha jambo la muhimu zaidi. Wangejaa sasa siku hiyo waone wageni waalikwa tulivyo. Tungetoa maonesho ya Gen-Z kabla hawajaleta mbwembwe zao. Jambo lipo tukutane #D9
5
1
25
801
Gwajima hajawahi kupoteza pambano hata moja tangu nimeanza kumfuatilia. Tunaanzia tulipoishia na Jasusi. #D9 ni homa kali sana kwa sasa.
18
122
1,514
38,874
Hakika sisi ni wamoja tusio-bagulika kwa misingi ya kidini!
2
38
1
151
4,307
Propaganda ipi? Kwamba majangili waliua watu hiyo ni propaganda? Mbona hamtaki kuambiwa ukweli?
This Post is from a suspended account. Learn more
1
6
254
Rais kutoka Gen-Z atavunja muungano na utakuwa mwisho wa CCM.
1
8
65
1,163
Replying to @SamsonMKasumba @CNN
I just quickly went through the profile. Is a pro dictatorship from Uganda to everywhere. In fact, in his tweets he also say attack on Gaza was justified. He just now want Gaza documentary because he don’t want to see the killings by Tanzanian police and Ugandan mercenaries
4
30
697
Kaka mngetulia. Sisi tuliumia sana kwa majangili kutuulia ndugu zetu. Sio kwamba #D9 ni kisasi, ni mwendelezo wa kile tulichokuwa tunadai na hatukukipata. Kama hatutapata tutaendelea mpaka tupate. Mnashambulia mtu aliyeongea ukweli mtachoka maana bado ripoti za kutosha zinakuja. Ukivuliwa nguo unachutama ninyi mnarukaruka watu wanaona vibamia vyenu. Kama kweli mnaipenda nchi yenu kuliko sisi mkamateni aliyeua ndugu zetu. Mbali na hapo sisi tutawaona ninyi ni wanyama tu na tutawatendea kinyama. Tukipata nafasi ya kuwaua hatutasita kufanya hivyo. Vita hii ni mpaka tushinde.
“3 months pregnant,2 kids,breadwinner for her family and husband”!!! A propaganda movie with propaganda lines. They always use an African against Africans. Ladies and gents, I present to you a sellout with a microphone!
1
3
342
Kwenye hii aibu tusihusishwe ni yake peke yake tafadhari. Hata waumini wa Mtambani wasihusishwe kabisa.
VIDEO: Imamu wa Msikiti wa Mtambani wilayani Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Sheikh Shaban Pembe amehoji sababu ya nguvu kubwa ambayo vyombo vya habari vya kimataifa na baadhi ya majirani wa Tanzania, hususan Kenya, wameiweka katika kuripoti matukio ya vurugu yaliyotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa hotuba msikitini, Sheikh Pembe amesema katika siku za hivi karibuni vyombo vikubwa kama CNN vimerusha ripoti kuhusu matukio ya uchaguzi huo, huku BBC na vyombo kadhaa vya habari nchini Kenya vikiendelea kuripoti kwa kina kile kilichotokea, akihoji kama ni huruma ya dhati kwa Tanzania, au kama kuna “ajenda iliyojificha nyuma ya mwamvuli wa haki.” Sheikh Pembe amesema ni muhimu Watanzania kujiuliza ni kwa nini matukio hayo yamepata umakini mkubwa wa kimataifa kuliko ilivyozoeleka. Katika kutoa hoja yake, Sheikh Pembe pia ameeleza mtazamo wake kuhusu uhusiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Kenya, akisema ushindani uliopo baina ya nchi hizo mbili unaweza kuwa moja ya sababu za maslahi yanayochochea namna baadhi ya vyombo vya habari au wadau wanavyochambua matukio ya uchaguzi wa Tanzania. Amedai kuwa miaka ya nyuma bidhaa nyingi za Kenya zilikuwa zikitegemea soko la Tanzania, lakini sasa uzalishaji wa ndani umeongezeka na bidhaa nyingi zinazoingia sokoni zina nembo ya ‘Made in Tanzania’.
1
1
4
302