Uingereza: 'Kuna mambo tunahitaji kuzungumza na Tanzania'
Mahojiano kamili>youtu.be/LMU1bJmKQGA?si=onsD…
TMA Extends El Niño Alert to Western and Southern Tanzania as November Rains Near
thechanzo.com/2026/10/26/tma…
Govt’s Chief Spokesperson Gerson Msigwa Warns Against Online Incitement
thechanzo.com/2026/10/26/gov…
Tanzanian Activist Twaha Mwaipaya Missing After Reported Abduction in Kenya; Rights Groups Demand Answers
thechanzo.com/2026/10/26/tan…
Eleanor Sanders: Britain’s Rights Envoy Seeks Wider Tanzania Ties Ahead of UN Review
thechanzo.com/2026/10/26/ele…
Joan Wicken alikuwa jicho la Waingereza kwa Nyerere?
Tazama mapitio ya kitabu cha 'Joan Wicken: A Lifelong Collaboration with Mwalimu Nyerere' >youtu.be/eqESS1SB5OU?si=qpHl…
Nini siri ushirika wa Julius Nyerere na msaidizi wake wa muda mrefu Joan Wicken?
Tazama mapitio ya kitabu cha 'Joan Wicken: A Lifelong Collaboration with Mwalimu Nyerere' >youtu.be/eqESS1SB5OU?si=3X4m…
Nkrumah, Nyerere walikuwa na wasaidizi raia wa Uingereza. Ilikuaje?
Tazama mapitio ya kitabu cha 'Joan Wicken: A Lifelong Collaboration with Mwalimu Nyerere' >youtu.be/eqESS1SB5OU?si=NPOS…
Mazungumzo na Balozi wa Haki za Binadamu wa Uingereza
Katika mahojiano haya, Eleanor Sanders, Balozi wa Haki za Binadamu wa Uingereza, anaeleza sababu ya ziara yake Tanzania kabla ya Mapitio ya Kipindi ya Ulimwengu (UPR) ya Umoja wa Mataifa.
Fuatilia zaidi>>>youtu.be/LMU1bJmKQGA?si=BkV0…
Mjasiriamali huyu kwa zaidi ya miaka 10 mkoani Kigoma amekuwa akijishughulisha na kilimo cha mabadiliko ya tabianchi kwa kupanda miti na kutoa elimu kwa jamii.
Mama awasihi ‘watekaji wa Landcruiser nyeupe’ kumrudisha mwanaye. Watekaji walivaa jezi za Simba: ‘Mrudisheni mwanangu, mpelekeni Mahakamani’
Mama wa Juma Kijazi (30), mfanyabiashara wa chips amewasihi watekaji waliomchukua mwanaye toka Oktoba 21, 2026, na kutokomea naye kumrudisha kijana wake, ambaye ndiye mtoto wake wa kwanza.
"Toka tarehe 21 Oktoba mpaka leo, sijaweka hata maji mdomoni. Siwezi kujua mwanangu yupo kwenye hali gani: anakula, analala, au amekufa. Nyinyi wakina baba mliomchukua mwanangu, mrudisheni; mpelekeni hata polisi. Naombeni mnirudishie mwanangu, popote pale alipo. Mimi ndiye mama yake. Nawaombeni sana mnirudishie mwanangu," Mama huyo amewasihi watekaji.
Watekaji hao ambao hawakujitambulisha walifika katika eneo lake la kazi Kinondoni Manyanya na kupaki gari lao Landcruiser nyeupe, baada ya muda walishuka na kumkamata kijana huyo akiwa anafanya usafi, pamoja na kijana mwingine waliyemuachia.
Tukio hilo limeripotiwa Polisi na kusajiliwa kwa OYB|RB|7259|2026
Kwa mwaka 2025 shehena za nchi jirani zilizopita Bandari za Dar es Salaam na Tanga zilikua tani milioni 14.3 ikilinganishwa na tani milioni 9.2 mwaka 2024:
1. DRC - Tani milioni 7.2
2. Zambia - Tani milioni 3.5
3. Rwanda- Tani milioni 2.2
4. Malawi- Tani milioni 0.7
5. Burundi- Tani milioni 0.5
6. Uganda- Tani milioni 0.05
7. Nchi nyingine- Tani milioni 0.06
Mikoa 10 Yenye Watu Maskini Zaidi
Kwa kuangalia kipato cha mtu mmoja mmoja kwa mwaka 2025:
1. Simiyu - Milioni 1.74.
2. Kagera - Milioni 1.85
3. Singida - Milioni 1.99
4. Dodoma - Milioni 2.11
5. Pwani - Milioni 2.16
6. Tabora - Milioni 2.30
7. Kigoma - Milioni 2.30
8. Katavi - Milioni 2.46
9. Rukwa - Milioni 2.88
10. Songwe - Milioni 2.94
Ukiwa Mzembe, Vyombo vya Habari Vitakulisha ‘Matango Pori.’ Udadisi Utakusaidia Kulikwepa Hilo | Na Isaack Mdindile
thechanzo.com/2025/06/28/uki…
Court Rejects Bid to Freeze CHADEMA Assets in Zanzibar Resource Dispute
thechanzo.com/2026/10/23/cou…

