Logistics🔗 | Winery🍷🍇| ☂️ Insurance |Mechanics🔧| NorthVine Energies⛽️☄️♻️ | RealEstate |Tech | Innovation | 📧[email protected]
Tanzania
Joined October 2018
- Tweets43.8K
- Following877
- Followers250
- Likes8K
Pinned Tweet
1 Be Proactive
2 Begin with an end in Mind
3 Put 1st things 1st
4 Think Win-Win
5 Seek 1st to understand then to be understood
6 Synergize
7 Sharpen the saw
#7HabitsForSuccessfulPeople
#7HabitsForSuccessfulLeaders
#7HabitsForSuccessfulManagers
©FranklinCovey @franklincovey
VineyardLogistics™ retweeted
A toddler and a German Shepherd with zero concept of personal space is one of those everyday moments that shows what this breed is really about.
The dog stays completely relaxed while the little one climbs, plays, and treats him like a living pillow and playmate. No tension, no correction—just quiet acceptance and trust.
As a German Shepherd dad, these are the moments that matter: gentle giants that become full members of the family and let kids be kids around them.
The reaction from the guy watching says everything about how special that bond is.
VineyardLogistics™ retweeted
Replying to @maishatz @Dullahmwinyi1
VineyardLogistics™ retweeted
I asked the most powerful AI right now (Mythos 5.2) for its unfiltered advice to an African for the next 10 years.
Let’s just say it didn’t hold back.
VineyardLogistics™ retweeted
By the way, if there’s anything you can take from this apart from the answer it’s how to prompt AI. The more details you give it about how to answer you, the better its output. That means you need to be very clear to yourself first what is it that you’re looking for.
Uraibu, mara nyingi, ni mapambano ya nafsi kushughulikia upweke wa ndani kwa ndani—kutokueleweka, kutokuonekana, kutokusikika, kutokuaminika na kutokuthaminika.
Unapoishi kwenye mazingira ambayo huna wa kufanya naye mazungumzo ya kina, kwa mfano, rahisi sana kuwa mraibu wa mitandao inayokukutanisha na watu wasiokufahamu lakini wanakufanya uamini unaonekana, unasikika na unaeleweka.
Uraibu, aghalabu, ni njia ya mkato ya mtu kuitafuta ‘maana.’ Maisha yakishakosa matumaini, ubongo hukusaidia kujaza ombwe kwa chochote kinachokupa ‘raha’ na ‘matumaini’ hewa.
Wengi wanaoshinda vilabuni, mathalani, huwa wamegundua pombe inawasaidia kusahau uchungu wa ombwe la ‘maana.’ Unamwita ‘cha pombe’ lakini mwenzako anajua pombe ndiyo inayompa ujasiri wa kukabiliana na maumivu asiyoweza kuyashughulikia asipolewa.
VineyardLogistics™ retweeted
The Irony ni kwamba Rais bado anacommunicate na Umma kupitia mtandao huu.
Wengine humu ndio mahali tumeweza kukutana na watu wametusogeza hatua za maisha.
Sometimes unawaza hawa watu kweli hawatupendi kiasi hiki?
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
VineyardLogistics™ retweeted
Whenever you see a well loaded Dangote truck of cement, you may wonder how they manage to load that much cement and admire the people doing it.
But it's actually machines doing most of the heavy lifting, not humans.
Majadiliano ya maana ambayo huwa yanaepukwa.
Maarifa ya kweli.
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania.
Na nataka kuwaambia kwa nini.
Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu.
Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter.
Na sio kujifunza tu.
Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA.
Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA.
Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu!
Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku.
Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote.
Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma.
Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani.
Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni.
Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter!
Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania.
Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media.
Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani.
Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi.
Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
66