Ze Planmaster (@ZPlanmaster) header
Ze Planmaster (@ZPlanmaster) profile picture

No bio, just Chemistry.// Backup account @ZePlanmaster

Joined February 2022
Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)Photo by Ze Planmaster (@ZPlanmaster)
Wazazi waliotengana mtoto akipiga simu kwa bahati mbaya😅
23
20
72
1,858
Ze Planmaster retweeted
Niliwahi kosa nauli ya dala nilipomuomba kondakta anisaidie akanambia huwa hasaiidii bure, akanipa kazi. Picha linaanza akatafuta siti akakakaa akanambia kazi yangu iwe ni kuita abiria kila kituo. Route ya masaa mawili niliita vituo kama kumi hivi hapo ni kupandisha abiria na kuwashusha. Mwisho wa safari jamaa alikuwa muungwana ajabu akanipiga na ganji ya buku mbili akasema nikagide safari lager🙌🏾 Na kweli nikapitia kiosk nikagida safari moja kujipongeza kwa kazi nzito. Mungu ambariki sana yule kondakta alikuawa anaitwa Mashaka simsahau hiyo ni 2017
17
21
216
8,631
Ze Planmaster retweeted
Ukishajipata unakuwa ndoto ya kila mwanamke ✍️
19
46
175
4,150
Duka lako ikishakuwa kuingia ndani mpaka uvue viatu, Funga ilo duka unacheza wewe🙌🏾
20
23
97
4,101
Ze Planmaster retweeted
TAARIFA! Nitoe ONYO kwa wanawake wote wanaokuja DM kwangu kunitongoza na wengine wakidiriki kunitumia picha zao za utupu. Nawataarifu kua Mimi nimeoa na Nina watoto watatu na ninampenda Sana mke wangu Elsa. _END.
21
22
2
46
1,070
Ze Planmaster retweeted
Nawakumbusha wanaume wenzangu si mmeona kulivyo kimya hata sisi hatujui kama leo ni worlds men day basi ndivyo no one is coming to save you🫵 Happy men’s day wanangu wote🤝
22
43
156
3,085
Ze Planmaster retweeted
Mimi binafsi siwezi kuachana na mwanamke halafu nikamwombea mema, Hahaha mimi tukiachana ni vita vita tu.
3
14
45
890
Ze Planmaster retweeted
Tsh 1,000 Ila Mwanza😂🙌🏽
13
31
3
38
2,358
Ze Planmaster retweeted
Mafumbo hayasaidii nyakati hizi, we tuambie ulipataje hela ukawa tajiri namba moja tz
Siku moja, kila kitu unachomiliki kitatumiwa na wengine, kitatolewa kama msaada, au kitatupwa. Kile kitakachobaki si mali uliyokusanya, bali ni mabadiliko chanya uliyoyaleta katika maisha ya watu wengine.
15
19
60
1,935
Ze Planmaster retweeted
Hivi karibuni kuna sehemu nilikuwepo kwenye ubarozi wa inchi moja ya Ulaya SALIM KIKEKE alikuwepo pia Guess what walimtambulisha kama ndiye mmiliki wa CLOWN MEDIA?? Sio yeye aliyejitambulisha hivyo ni Deputy Chief of Mission wa ubarozi ndiye aliyemtambulisha. Mdau akanipenyezea nyingine kuwa hivyo viwanja anavyo tangaza ni mradi wake pia(Hili sina uwakika nalo) Sema hapa recent nimeona watu wanamuandama kuhusu downfall yake kutoka BBC Hakuna cha downfall kutoka BBC. Ukitoa kugombea ubunge na drama zake alizoleta kipindi cha mitikasi ya ubunge na ukizangatia upande aliouchagua na yaliyotekea hapo ndio alizungua Ila BBC kulikuwa hakuna issue kuanzia 2022 baada ya BBC kufanya Restructuring na budget Cuts na kurudi Africa(BBC swahili)
21
18
2
263
25,958
Ze Planmaster retweeted
Mwanaume mpambafu ni yule anae mpiga mke wake kwa ngumi na mateke ukizingatia wewe ndo ulimshawishi kuishi nae mtoto wa watu hakukulazimisha.
18
45
2
85
1,900
Ze Planmaster retweeted
Ni mtandao gani? 🤔
39
31
121
6,569
Ze Planmaster retweeted
kipindi kigumu hakimaanishi wewe umefika mwisho. Kinaweza kukufundisha kuangalia maisha kwa namna nyingine. Kinaweza kukufundisha kutumia kidogo ulicho nacho kwa hekima. Kinaweza kukufundisha kutafuta njia mpya. Kinaweza kukufundisha watu wa kweli wanaosimama na wewe.
8
26
55
1,004
Ze Planmaster retweeted
Good morning. Mali nzuri zinapatikana @ramamobilehub wa.me/255747151944
12
42
2
45
798
Ze Planmaster retweeted
2019😌
4
8
27
684
Njia pekee inayoweza kufanya tukaonana👇👇
21
47
60
664
Ze Planmaster retweeted
Inakuaje mtu unaumia kwa kitu ambacho huna gari,nyumba,biashara au mpenzi na akili inalijua hilo yaani kinachokufanya uumie ni nini hasa..???
13
47
65
898
Ananiambia kikoba chao walivunja toka mwezi wa tisa kupisha El nino😭😪😂
16
32
57
1,673
Ze Planmaster retweeted
Angalia mpaka mwisho 😂
19
24
1
100
8,615
Ze Planmaster retweeted
IFIKE hatua mliooa na mnakaa nyumba za kupanga zilizojaa masela single muwe makini. Unaruhusu vipi mkeo awe na utani na masela (wapangaji) tena ambao hawajaoa na wapo huru sana kumtania, kufurahi nae kuchekeana mbaya zaidi wanamletea chakula kabisa awapikie. Au hamuogopi?.
49
63
2
203
9,992