Key money retweeted
It's 2029 polo Kimani has three children with eve maina .Edwin sifuna anapiga mboka proper and the country is in the right direction alele ni 20 bob County mzinga ni 150 na kanini is reformed and a marriage counselor . life is just good
Key money retweeted
The reason why you are addicted to twitter is because you don’t have anyone to talk to
Key money retweeted
Nimesign Yamal after wamefunga shule na nikamchezesha tu game moja sahii Newcastle wako interested kunisign as their head coach
Key money retweeted
Watu hunifurahisha,lakini bado wananishangaza,ni hii watu ya bangi. Mtu wa bangi unajua unaeza mtoa kakamega umlete nairobi,lakini baada ya siku mbili atakua ameshaajua mahali ya kununua bangi. Na sisi wenye hatuvurutangi tunaezamaliza ata miaka kumi hatujai jua mahali bangi inauzwo. Its like these people have a radio frequency they use to locate each other.
Na ata hawatumiangi nguvu mingi,nina jamaa wangu wakati nilihost yeye mlolongo ,tulienda kununua mboga siku moja tukirudi akaniuliza “Na unajua huyo mama anaunza gode pia?” Nikamuuliza amajuaje,akaniambia ati ameona kitu ingine inaitwa rizzla chini ya beseni ya kabej bwana. I had known that woman for two years. Eih! Hii watu ya bangi tunafaa tukamate tuweke wao kule North eastern,tuone kama angalau wanawesa nusa alsabaab. Hii watu unajua wameshinda ata German shepherd bwana.
Key money retweeted
This Year's Christmas is a special one for William Ruto since next year's one will find him in ICC prison. I know what am saying. Remind me.
Key money retweeted
Soja huko karen ananiona kwa nduthi ya elfu mia tatu alafu ananiuliza kama nimeleta delivery? Nimamwambia aulize nyanya yake iyo swali. How can you disrespect me like that
Key money retweeted
Wdym “hairline inahepa harufu ya mdomo”
This app is not a real place as they always say!!
Key money retweeted
Ukienda kucrack joke kwa therapist ndio athani uko sawa, alafu uone ameinote down
Key money retweeted
🚨🇦🇷 BREAKING — World Cup:
This is the Most Corrupt World Cup in History.
FIFA has Just Robbed Egypt in Broad Daylight.































