Pinned Tweet
1. Utajiri sio nyumba na magari.
2. Nyumba na magari hayo ni mahitaji yako na sio utajiri.
3. Utajiri ni yule mtu anayeweza kuizungusha pesa ikawa kwenye mzunguuko/kuizalisha.
Wewe msomi @Alex_komba00 hii challenge huioni mkuu
You’re unable to view this Post because this account owner limits who can view their Posts. Learn more
Mwanaume unanitumia meseji ett ""Zuchu na Diamond wameachana"" sasa wakiachana inanihusu nini..🚮🚮
1
2
166
Ngoja siku upate UKIMWI ndo utajua UKIMWI sio ugonjwa wa watu masikini... cheza kwa umakini.😂
1
1
92
Kuitwa mjinga huku unasuka mipango yako kmy kmy ni bora zaidi.
Kuliko kuonesha uwezo wako kwa mtu mwenye njaa, akishiba hawezi kujua kama kuna watu wengine wana njaa.
1
68
Minihaji retweeted
Ukielewa namna 𝗺𝗮𝗿𝗸𝗲𝘁𝗶𝗻𝗴 ina apply kwenye 𝗯𝗿𝗮𝗻𝗱𝗶𝗻𝗴 hutachukulia contents poa hata kidogo.
Minihaji retweeted
Nikitoa mchango kwenye harusi yenu, alafu nikakuona unachepuka, ninayo haki ya kumwambia mmeo/Mkeo sababu mimi ni mdau wa ndoa yenu.
Siwezi ona hela yangu niliyoitafuta kwa Jasho inachezeleka Halafu nikae kimya..!
Minihaji retweeted
Anza siku yako kwa shukrani na imani. Mungu hufungua milango ambayo hakuna mwanadamu anayeweza kufunga. Endelea kufanya mema, kuwa na subira, na kuamini kuwa wakati wako wa mafanikio utafika.
Good morning friends
Minihaji retweeted
Wanaume hakuna namna yoyote yakufanya ili Wanawake wakupende Mwanaume kuendelea kufanya vitu ili wanawake wakupende ni ishara kua bado hauja komaa kiakili📌
Minihaji retweeted
Ukiwa kwenye ndoa kuna time unaona kama umeuza uhuru, ila huyo huyo unaemuona msumbufu au mkeo ananuna nuna, ni sababu upo hapo, siku kuwa mbali nae ndio utajua unamhitaji hivyo alivyo na hakuna cha maana ulichopoteza huko nje💯✍...
Minihaji retweeted
Ukioa mwanamke asiye bikra inabidi upambane sana na akili yako kujiaminisha kwamba hajatumika sana.
Minihaji retweeted
Mahusiano kabla Ndoa hayana faida yoyote zaidi ya kupoteza Muda wako na pesa zako na kuambukizwa UTI📌
Minihaji retweeted
Eti “nilikuwa nakusalimia” 😂😂😂🙌🏾, Kweli wanaume tumeumbiwa mateso jamani kutongoza ni kazi ngumu 🙌🏾
Minihaji retweeted
Mke si wa kuzaa watoto pekee wala si wa kupika chakula tu. Ni mwenzi wa maisha, mshauri wa karibu, faraja wakati wa shida, na nguzo ya familia. Mke mwema huifanya nyumba kuwa nyumbani na maisha kuwa yenye maana zaidi.
Biblia inasema: “Aupataye mke hupata kitu chema, naye hujipatia kibali kwa Bwana.” (Mithali 18:22) ❤️🙏














