Pinned Tweet
Nimeopen up Kwa sister yangu over the phone nikimwambia huwa na tumia drugs like alcohol and the likes (referring to weed) jokingly nikijua hii stori namshow, it's just between us.
Bishop_imbo retweeted
Nimetext manzi yangu nikiwa mlevi pale green app "unakuja saa ngapi kamummy" nikaona reply, "Uko na audacity?" Kumbe nilitext ni ya lec mamae, sijuii kesho class kutakuwa aje. Nitawaupdate...
Bishop_imbo retweeted
This is the day that the Lord has made.
Congratulations dear self 😊♥️
CHUKA CLASS OF 2026
Bishop_imbo retweeted
Yaani nilikuwa side dude number saba ya Ronaldo Kwa relationship ya miaka mbili, alafu after nimefind out nikamuuliza akaniambia nilikuwa nimepanda cheo to namba four
Nimetext manzi yangu nikiwa mlevi pale green app "unakuja saa ngapi kamummy" nikaona reply, "Uko na audacity?" Kumbe nilitext ni ya lec mamae, sijuii kesho class kutakuwa aje. Nitawaupdate...
Nikionanga wababaz na wasupa wa 21 to 24 years hivi ata huwa siwalaumu, let them enjoy bana. Hapo sasa ndio wanalipiza rejections zote walikula wakiwa broke. Alafu utapata kuna msichana anataka kufall in love with such people, utashanga sana, love iko hapo kwa broke boys my dia.
Yaani nilikuwa side dude number saba ya Ronaldo Kwa relationship ya miaka mbili, alafu after nimefind out nikamuuliza akaniambia nilikuwa nimepanda cheo to namba four
Bishop_imbo retweeted
Mtu anakufa alafu unaanza story mingi za “why you” kwani ulikua unataka nani akufe
Bishop_imbo retweeted
Ukiskia Kenya ukiambiwa aliuwawa na Blood pressure na magonjwa zingine ,hizo magonjwa zingine ni HIV
















