Oppa (@bmtete69) profile picture
Joined May 2015
Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)Photo by Oppa (@bmtete69)
Kazi Ya Bodaboda Niache Sasa. Nijifunze Skills Nianze Kutafuta Kazi Mitandaoni. Miaka 3 Ijayo Taanza Kulipwa Dollar 馃槉. Ni Vyema Kutafuta Maarifa Kuliko Kutumia Nguvu Nyingi Maslahi Machache.
8
Nadaiwa Kodi Nadaiwa Marejesho Nadaiwa Bank Nadaiwa Bustisha Nadaiwa Nivushe Plus Nashindwa Kuelewa馃ズ馃ズ
20
Kuna Muda Mwingine Unawaza Bora Uwe Tapeli Tu. Leo hii Nakosa Hata 700 Ya Nauli??
16
Enyi Vijana Wenye Umri Wa Miaka 35+. Tayari Mna Miji Yenu, Miradi Ya Kuwaingizia Pesa. Mmewekeza Kwenye Viwanja Na Mashamba. Mna Magari Ya Kutembelea. Financial Freedom Mnayo Ya Kutosha. Mliwezaje Kutimiza Hivyo Vyote. Ni Biashara Gani Mtu Afanye, Au Afanye Kazi Gani Afanye????
1
30
Nafanya Kazi Nalipwa Mshahara. Take Home Laki Tatu. Sinywi Pombe, Sihongi Wanawake, Sinunui Malaya. Sivuti Sigara, Sisaidii Ndugu. Lakini Sina Hata Akiba Kwenye Akaunti. Mimi Ni Nani????馃馃
15
Utafutaji Wa Fedha Kwa Vijana Wengi Ina Changamoto Nyingi. Ukianzisha Biashara Changamoto Haziishi. Upate Ajira Mshahara Kidogo Ambao Haukidhi Mahitaji. Je Ni Jambo Gani Ufanye Au Uwekeze Kwenye Nini Ili Ukifikisha Miaka 40 Uwe Na Uhuru Wa Kifedha?
9
Kama Vile Mwenye Kiu Anavyo Yatamani Maji. Roho Yatamani Niishi Na Yesu Milele. #GODWIN
13
Wakati Sisi Tunahangaika Kufungia X . Wenzetu Wanaendelea Kufanya Makubwa.
China has achieved 40 million mu (2.67 million hectares) of afforestation and grass planting over the past 12 months under its major greening program, the National Forestry and Grassland Administration said Thursday.
32
China has achieved 40 million mu (2.67 million hectares) of afforestation and grass planting over the past 12 months under its major greening program, the National Forestry and Grassland Administration said Thursday.
3
34
8
112
7,884
MWENYEWE馃幎馃幎 Pia usiteseke kwa walicho nacho Riziki mafungu saba pengine leo zamu ya sita Kaza moyo epusha roho yakusita We umezaliwa peke yako Utakufa peke yako Na utazikwa peke yako So usiwaeleze shida zako Ukidhani ndugu zako kumbe ndo wabaya wako Wee komaaa(mwenyewe)
24
siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, wamejaa hangover utazani jana yake walikesha, akaja mshikaji wangu mmoja, kutoka kwenye lilelile gari
1
15
inaniuma sana, nikifikilia huwaga nina lia, inaniuma sana, kila ninalofanya, linakosekana, inaniuma sana hata watoto wadogo wananicheka sana inaniuma sana, nikifikilia huwaga nina lia,
1
8
inaniuma sana, kila ninalofanya, linakosekana, inaniuma sana demu wangu amepima amekutwa anangoma, Msitu Wa Vina. Na Msanii Gani Anaweza Kufata Nyayo Za Huyu Msela Kuchana Verse Zaidi Ya 3. Kingine Huu Ukiusikiliza Kuna Code Za Marehemu Fulani!!
34
Kumbe ni kichwa kinamuuma kishalewa anajipoza na maji Na mimi hata muda sina nishamkanya ninasikiliza ma melody Nishamwambia nini wewe kupenda sana utakuwa chizi Hayana ata ujuzi yale kila mtu analilia mapenzi Karibu chama la bachelor ukinipenda namaliza leo leo tu.
1
1
62
Siku hizi kwa kudanganyana mvulana msichana ishakuwa poa poa tu Hakunaga mapenzi yale ya kugandana ni zama za kale MONEY ON THE TABLE yawe kinachofuata ni mimi na wewe na wewe @OfficialAliKiba Nyimbo Zinaishi Bhana. Zama Hizi Pesa Kwanza Ndio Upate Penzi.
33
Bongo Jua Kali Sana, Nimeona Nipoe Kinvulini Nichunge Mifugo Tu.
1
83
Wamama Wajawazito Bhana Ukitaka Kupiga Show, Utasikia Anakwambia Aah Aah Sitaki Hekaheka Sasa Hivi. Enyi Mlio Oa Huwa Mnafanyaje Kukabiliana Na Hii Hali?
1
68
Unapokuwa Na Pesa Mfukoni Unatembea Kwa Kujiamini KinomaNoma.
1