Mafioso retweeted
Kwenye swala la biashara me naona Kila mtu afanye vile anavyoamini na anavyotaka. Me mwenyewe nlikua naamini 100% ya biashara yangu wateja ni watu wa njee ya nchii pekee. Ila tangu nimeanza kupost deals kubwa napata kuliko ata za watu nlioamini ni wateja wangu.
Mafioso retweeted
Kuna vijana wanauza bidhaa Insta, tiktok humu ndani pia, wengine wanabeba mizigo, wengine ndo bouda bouda, wengine wanapiga debe.
Kazi ni kazi.
Usimdharau mtu kwa sababu tu hustle yake haifanani na yako.
Mapambano ni tofauti ila adui ni mmoja Umasikini.
Mafioso retweeted
Mwanaume anayejiheshimu
1. Anaoa kabla ya 30+
2. Hali mgahawani hata akiwa bachela, labda kuwepo na dharura
3. Hana wanawake wengi wengi.
4. Ana malengo
5. Anajishughulisha
6. Halewi pombe na hatumii stimulants zozote.
7. Anaheshimu watu.
8. Anavaa mavazi yanayomsitiri.
Mafioso retweeted
Wacha tutengeneze bundle la Playstation kwa budget ndogo ya TZS 3,680,000 tu!
UZI🧵🪡🧶👇
1. Console ( Ps 5 Slim disc 1tb) bei ni Tzs 1,650,000 tu
Hii inakuja na Pad 1
Mafioso retweeted
No jobs, no opportunities, no proper infrastructure, yet leaders live in luxury, Imagine being so selfish that you don’t care your own people have to become strangers in foreign lands just to survive💔What a disgrace😒
Mafioso retweeted
Bado hata mshahara wa 600K hautoshi kama unaishi Dar. Nasemaga minimum salary take home inapaswa kuwa angalau 900K.
Sasa umepanga chumba 100K
Nauli ya kwenda na kuridi kazini 5K kwa siku, kwa mwezk - 150K
Chakula kwa siku 15K, kwa mwezi - 450K
Bando kwa mwezi - 70K
Umeme & bills za maji n.k - 30K
Jumla - 800K.
Hapo bado hujahonga, hujatoka weekend, hujaambiwa mjomba kameza panga 🫵😂.
Sio kwamba nina kipato cha zaidi ya 1M, mi mwenyewe hohehahe ila hali ya maisja ipo juu sana
Mafioso retweeted
sometimes i sit alone and realize nobody truly knows how bad things are for me mentally
Mafioso retweeted
Kasichana kadogo kanakusetia collapsed doggy Hadi unasahau kalikuzalia wazazi eiiiy
Mafioso retweeted
Sema kuwa na Nuclear ndio uhuru kamili !
wale Hackers wa North Korea wangekuwa wanatokea Kenya au TZ FBI na Interpol wangekuwa wamejaa huku na vitisho kibao ila sababu North Korea hakuna hata wa kusogelea kmmk 😂😂😂






















