David Chacha retweeted
NYIE MLIOPEWA DHAMANA YA UONGOZI INA MAANA GANI KUENDELEA KUONEA WATU.. MUNGU ATAWAADHIBU KIFO ” Chief Justice of Tanzania George Mcheche Masaju, Jaji Mkuu wa alisema hayo kwa ujasiri bila kuongopa mamlaka iliyopo na akitimiza ile ahadi yake na kiapo chake cha kupigania haki.
David Chacha retweeted
CCM ni viburi sababu tuna wawezesha
Tukiachana na bidhaa zao za damu, tutafungua nchi kwa haraka
Kama wewe ni mwanaharakati au kamanda au mpenda HAKI , utakuwa mjinga kuendelea kununua bidhaa za maCCM
David Chacha retweeted
Kuna wakati huwa nawaza sana. Inakuwaje mtu anauwa watu zaidi ya elfu 10 halafu akaona kwake sio shinda yeye ndo kama mungu Tanganyika awala hana hata haya. Haya sasa anayoyaongea MANGE sio ya kupuuzwa. Ni kama utani ila wakae mkao wa kuvuna walichopanda
David Chacha retweeted
Sheikh Khalifa Khamis dhidi ya Augustine Mrema mwaka 1995. Nchi inetoka mbali hii😃.
David Chacha retweeted
DAKTARI Aliyeongea Leo Kwenye Msiba Wa ALUTE MUGHWAI Huyu Hapa.
DAKTARI Aliyempokea TUNDU LISSU Akiwa Mahututi Baada Yakupigwa Risasi Nyingi Sana “LISSU Alikua Na DAMU 3”
Week Kadhaa Mbele DAKTARI Huyu Akafukuzwa Kazi.
Msikilizeni Doctor Akimsimulia TUNDU LISSU Tukio Zima 👇
David Chacha retweeted
Hapa kaka wa lissu alitoa siri ya kufikiwa na hawa matapeli baada ya kufurumushwa CDM.
David Chacha retweeted
😭😭😭😭
Pumzika Kwa Amani Alute Mungwai! Umepigana vita vyema!
Ila tunajiuliza Why litokee hili baada ya wewe kusema ukweli Juu ya njama za kushawishiwa kumuhonga Lissu? 😔😔
David Chacha retweeted
Tumekua tukiongozwa na vijinga, na bahati mbaya watu wetu hawana elimu ya kudadisi vitu, tunahangaikia na mambo ya zuchu, simba na yanga, huku watu wanakula nchi kimyakimya
David Chacha retweeted
Pumzika kwa amani, Mzee wetu Wakili Alute Mughwai Lissu. Hakika utakumbukwa Daima.🕯💔
David Chacha retweeted
The Pan African Solidarity Network has filed a habeas corpus at the Milimani High Court, Nairobi, Kenya, seeking the release of Twaha Mwaipaya, a Tanzanian activist who was abducted in Machakos, Kenya on Sunday afternoon.
#FreeTwahaMwapiaya #EndAbductionsEA #PASNet
David Chacha retweeted
Incase you missed KTN injecting Presid Ruto. Here is the video. Twende tu rough venye yeye!!



















