dullah_abuu retweeted
Replying to @akilichache
Mimi ni mpenzi wa ball ila toka mwaka jana mpira wabongo umenishinda sijaangalia mechi hata 1 toka ligi ianze hata hiyo derby yenu.
dullah_abuu retweeted
Msiandike namba za kuokota hovyo, leo unaweza andika ukiwa mwema maisha yakaendelea ila kesho ukawa muovu wakati huo ushasahau kama uliwahi dondosha tarakimu mitaa fulani na hapo ndo wataanzia wajeba.
Kama hamkujifunza kwa Mcomoro basi hamta jifunza tena.
dullah_abuu retweeted
GOOD LUCK 🍀🤞🏾🍀🤞🏾🍀🤞🏾🍀🤞🏾🍀
🔥 ONE CODE. ONE SHOT. ONE BIG WIN! 🍀💰
#SportyBet #MondayMotivation #BetOfTheDay #BettingTips #SportsBetting #NaijaBettor #WinningMindset
dullah_abuu retweeted
Inaumiza sana kuona wazazi wako wanazeeka alafu wewe bado hujafikia uwezo wa kuwasaidia..✍️





























