
A media personality & MC @mcambua East African | From Dar es salaam, Tanzania
Joined May 2013
- Tweets892
- Following137
- Followers8.8K
- Likes52
Dullah Planet retweeted
Kwa baraka zote kutoka kwa Rais wa @CrownMediaTZ amemkabidhi taji la ushindi wa kujiunga kwenye Familia ya kifamle. Bingwa kabisa, uzoefu wa kutosha, kiswahili safi, aliyeibeba Bongo Fleva mabegani kwa miaka 15 @dullah_planet planet kwa pamoja tumkaribishe FUNDI NYUMBANI.
Dullah Planet retweeted
Oyeeee ✊🏽 kidumu milele! 🤣🤣
Muwe wavumilivu jamani! Subirini kidogo mambo yatakaa sawa!
👋🏽 mi nimegoma kushiriki lakini ktk uendawazimu acha nibaki na timamu yangu
Ijumaa kuu njema!
Dullah Planet retweeted
“Wataalam wanakuwambia, Ukiona mwanamke anakimbia bondeni kafiwa na baba yake, muacheni atarudi hatafika chini, lakini mkimuona mwanamke anakimbilia bondeni sababu mumewe kaongeza mke wa pili muwahini anaenda kujitupa.”- #Dulla
Dullah Planet retweeted
Wise words kutoka kwa @dullah_planet
Leo usiku kuna shughuli ya kufahamu kwamba ulikua hujui lolote. Make sure you tune in to @eastafricatv ifikapo SAA TATU KAMILI za USIKU.
Go har or go home.
#SalamaNaDulla #YahStoneTown #SalamaNa
@samakisamaki_tz @slidevisuals @yahstonetown
Dullah Planet retweeted
Ushauri wote wa kuelewa maana ya #GOHARDORGOHOME utaupata Alhamis ya kesho kwenye #SalamaNaDulla saa tatu kamili usiku ndani ya @eastafricatv
@yahstonetown
#YahStoneTown #SalamaNa
Dullah Planet retweeted
Wiki hii tunakuambia GO HARD OR GO HOME Tukiwa katika mapambano ya #SalamaNaDulla
Alhamis ya kesho saa tatu kamili usiku ndani ya @eastafricatv
#GOHARDORGOHOME
@yahstonetown @samaki_samaki @slidevisuals
#YahStoneTown #SalamaNa
Dullah Planet retweeted
This THURSDAY night In Shaa Allah...
@dullah_planet
😉
𝙀𝙋𝙄𝙎𝙊𝘿𝙀 39: 𝙂𝙊 𝙃𝘼𝙍𝘿 𝙊𝙍 𝙂𝙊 𝙃𝙊𝙈𝙀
Wiki hii ni zamu ya #SalamaNaDulla 🤩
Alhamis hii saa tatu kamili usiku ndani ya @eastafricatv
@yahstonetown @samaki_samaki @slidevisuals
#YahStoneTown #GOHARDORGOHOME #SalamaNa
Dullah Planet retweeted
SIMBA BINGWA 🙌🏽 Mungu mkubwa!!! Pongezi kwa wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama, mashabiki, na wapenzi wote wa SIMBA! We did it. I am so proud 🙏🏽
Dullah Planet retweeted
Replying to @dullah_planet @earadiofm
Gwiji lamikausho mikaly mpunguzi dodoma ivyooooo
Dullah Planet retweeted
Replying to @dullah_planet @earadiofm
Tokea mpunguzi dodoma ntakosaje Kwamfano yani hapatu99.6 mpakatamatiii
Dullah Planet retweeted
Replying to @earadiofm
@earadiofm Mnafanya kazi nzuri sana.This is the best way to run #PLANETBONGO.Agenda hii ya wasanii kuwa rasmi na kutetea haki zao muisukume
Dullah Planet retweeted
Replying to @NavyKenzo
@navykenzo wit @ambuamjukuu instagram.com/p/4jHVUHi9Je/
Dullah Planet retweeted
Lissa ( mke wa msanii mabeste) ametoa shukran kwa watanzania. SIKILIZA #PlanetBongo kwa habari zaidi
Dullah Planet retweeted
Ulimu-miss Salama Jabir @EceJay akitangaza #PlanetBongo ?Basi jumamosi hii yupo pamoja na Dullah @ambuamjukuu USIKOSE. #PlanetBongoIsDead
Dullah Planet retweeted
#OnAir on #PlanetBongo #TuneInNow with yo friendz @djadmafuvu & @ambuamjukuu #LetsDoThisPeoplE instagram.com/p/0Mu4MJgk36/





















