Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel) header
Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel) profile picture

Barcelona ⚽| Simba ⚽️| Golden State Warriors🏀| Born 28 August| Tudo Passa

dar es salaam
Joined June 2013
Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)Photo by Emmanuel Daniel (@emanuel__daniel)
Emmanuel Daniel retweeted
Tuwaunge Mkono Polisi, WAMEJIANDAA KUDHIBITI VURUGU kwenye HUKUMU ya TUNDU LISSU. Sasa mtu AJICHANGANYE, AONE. Kwa kweli, mimi tangu NIZALIWE, sijawahi kuona HUKUMU inalindwa kwa BUNDUKI.
35
79
6
468
13,612
Emmanuel Daniel retweeted
So kariakoo ghorofa wanajenga usiku na vibarua hawazidi 6... zege inamwagwa na machines ,,,, technology nyie 💔kazi hamna
11
23
2
445
24,269
Denzel trainer kwaiyo ndio akataka kuingia Uwanjani kisa kam train Doumbia, kwamba zoezi la siku moja ndio kafanya afunge 😂 Angejua Agosto wenyewe wameoza, pesa ya kujikimu tu hawana
17
11
1
324
12,114
Ukishakua mtu wa Sales suala la kuteswa na Mapenzi unasahau kabisa.!!
20
33
1
315
14,609
Emmanuel Daniel retweeted
Al Nassr naona kabisa wana dalili ya kuikosea heshima hela yangu🤔🤔
17
8
1
469
20,861
Emmanuel Daniel retweeted
“Ukiondoa Simba na Yanga, wachambuzi wengine hawana kazi. Hawana uwezo wa kuchambua mpira wamebaki kuziongelea Simba na Yanga tu.” David Molinga Unakubaliana nae?
26
11
4
384
21,536
Ukimpa Gabriel Jesus kipaza sauti aeleze tofauti ya kucheza na Saka & Odegaard dhidi ya kucheza na Yamal & Fermin Lopez, ataanza kulia kabla hata hajaongea.
4
4
41
1,217
Emmanuel Daniel retweeted
Hawa Barca hivi ndio wataenda kucheza na PSG 😄 Opponent anashikia break kwenye box mmhmh 🤔
8
8
1
122
5,602
Emmanuel Daniel retweeted
Wanavyocheza Barcelona Uefa Champions league wasahau. Hi High line yao itawaumiza sana
27
8
6
349
25,835
Emmanuel Daniel retweeted
Nimeona Dj Choka live anachangiwa for dialysis, maisha yanaumiza sana.
2
4
3
63
21,513
Emmanuel Daniel retweeted
Hawa waandaaji wa Show ya Fally Ipupa mbona wanapandisha Bei za Tiketi bila kutushirikisha wadau? 😂
3
4
1
150
12,611
Emmanuel Daniel retweeted
Yule Donnarumma leo analala bila kuoga. 😂🤣🤣😂
2
3
63
4,429
Emmanuel Daniel retweeted
Hii kamata kamata mpya na teka viongozi wa cdm pande zote za nchi inaashilia nini? Walifanya ivyo mwaka jana kabla ya Oct 29…….kuna hukumu ya Lissu tar 6 , kuna tume jinahi…… Haya matukio yatasaidia kudumisha amani? Just asking myself
9
36
3
230
6,686
Emmanuel Daniel retweeted
Ukweli usemwe , wanawake wengi ni wachoyo na wanajificha kwenye kivuli cha “women are not providers” , sidhani kama ni sawa 😒
38
93
30
563
27,424
Emmanuel Daniel retweeted
1000 goals, 500 assists will be insane
36
445
9
11,552
55,198
Emmanuel Daniel retweeted
Kilichomrudisha Pambalu ni nini? 🤔
31
9
2
240
26,021
Emmanuel Daniel retweeted
Kitu kimoja ninachokipenda sana kwa Simba ni jinsi wanavyomtanguliza Mungu katika kila jambo. Kabla ya mechi wanasali, na baada ya mechi wanamshukuru Mungu, bila kujali matokeo. Bila Mungu sisi si chochote. Kila kipaji, uwezo na ushindi ni kwa mapenzi Yake. Allahu Akbar! ❤️🦁
43
102
5
1,351
30,712
Man city nilioina Sec half Against PSG imenitisha mno, kama watacheza vile no one can stop them wasibebe Epl.
1
1
15
287
Emmanuel Daniel retweeted
Kuna mpira unakuja kwa kasi wa juu Nuno Mendes alivyouuwa chini tena kwa half turn …. Mamiyake Shaw anavunjika na unamkuta MOI😀
47
31
4
890
37,005
Emmanuel Daniel retweeted
Ki uhalisia tu tv inches 43 inatosha hizo nyingine ni mbwe mbwe tu.
61
34
12
638
31,083