ᥱ01 retweeted
Hii ya watoto chini ya miaka 20 kua na watoto na uja uzito inazidi kuongezeka sana hasa huku dodoma🙌🙌💔
ᥱ01 retweeted
inasikitisha sana kuona wanaume wenzangu wanazidi kuwa dhaifu kila siku.
Ivi unapata wapi nguvu ya kuingia kwenye ndoa na mwanamke ambae anakuaga kila ijumaa anaenda kumsalimia mama yake na anarudi jumapili jioni? shame on you!!😕
ᥱ01 retweeted
The best player in the world, Kylian Mbappé has arrived for the Ballon d’Or 🐐🏆
#ballondor
🤖 Made with AI
ᥱ01 retweeted
Na follow back wadau wote, ila mtu akiwa amewekea ulinzi post zake sasa mimi nitafaidika na nini kama sitoona post zake jamani.
ᥱ01 retweeted
Inaumiza sana kuona wazazi wako wanazeeka alafu wewe bado hujafikia uwezo wa kuwasaidia..✍️


















