Freemaker🇹🇿 retweeted
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi 🙏🏽✝️
Bro @freemaker_tz anakuambia "Yes, recent price action ndio inatupa entry point"
Lakini 70% ya success ya entry iko BEHIND previous price action.
Good entry inakua-influenced na:
1. BIAS - 70%
2. ENTRY MODEL
3. TIMING
4. CONFLUENCES
#100x💙🚀
#Pipsrepublic
Freemaker🇹🇿 retweeted
You don't need to know what will happen next
You just need to trust yourself enough to deal with whatever comes next 📍🎯
Freemaker🇹🇿 retweeted
We are traders, not prophets!
We can't predict the future….
But we can anticipate it📉📈
Freemaker🇹🇿 retweeted
Mentor hawezi kukufundisha DISCIPLINE.
Anaweza tu kukuonesha SYSTEM.
Discipline unaijenga WEWE kwa kuifuata hiyo system kila siku bila excuses.
Stop looking for motivation. Start looking for a system.
Freemaker🇹🇿 retweeted
Kama ume notice…
Jinsia KE wanaonekana kuwa profitable haraka zaidi kwenye Trading
1-2 years most of them…
Wanaume hustle hua ni kubwa sana 4 years mtu bado una struggle 🙌💔
Main reason ni nini hasa??
Freemaker🇹🇿 retweeted
This WEEKEND…
Usisome wala ku-backtest concept mpya.
Weka trades zako za last week mezani.
Zi-study nje ndani.
Jifunze kwenye LOSSES na WINS zote.
Then next week, apply WINS na avoid mistakes za LOSSES.
Thank me later 🖐️
BACKTESTED USDCAD📚📚
Bias
- bullish (engulfing pattern)
Entry Model
- continuation entry model
(a)pure bullish
- level of breakout
(b)bullish different bullish
- price tends to come deeply (EL)
Scenarios
-Inside formation before shift.
Regards @freemaker_tz
Freemaker🇹🇿 retweeted
Kwa wanaonitafuta for trading related issues!
Kama unataka respond ya haraka usitume DM 📥
Nichek WhatsApp! My WhatsApp number ipo profile hapo✌️
Hapa nishamaliza kufanya last week’s coverage kienyeji📚 🤕
100x💙🚀
Wataalam @freemaker_tz @Lebalwa_Jr @erdeny_ mkipata hizo app za kidigital msitusahau nyubi.
Freemaker🇹🇿 retweeted
As a trader ni risk gani kubwa uliawahi take kwenye Trading?
Kutradie Ada , kukopa Pesa utrade, Kuflip, kununua Robot ama kuna nyingine kali zaidi 😄🙌
Na mwisho wake ulikuaje?
Freemaker🇹🇿 retweeted
Ukijaribu kufanya Trading chances are.. you’re not gonna make it!
Meanwhile…
Ukiamua kufanya trading there’s always a way at the end 🔐
I take 50k usd account on 5ers i passed phase 1 than on phase 2 while in evaluation stage they demand KYC and then when i verify i got banned on verification, which prop is best for traders @Techriztm @Almalik_Mokiiwa @freemaker_tz



































