MKAKA __MSIRI 🎳 (@fricostore) header
MKAKA __MSIRI 🎳 (@fricostore) profile picture

Don’t take it serious ✍️😂

Joined April 2023
Namuuza 10,000, yupo sawa ni vile tu ana aibu🤒...
2
4
34
Una mtx crush wako una mwambia una mpenda yeye ana kutumia emoji za kucheka 😩💔🚮 Anakua kamaa nishaa nini wakuu?? Au unakua huu stahili kumpenda😂🙌
1
18
Ndoa ikianza na urafiki 👉mnakua pamoja, vibe inabaki na kumbukumbu haziishi. Mnakuwa wasee wa timu moja maisha yote 🙌🙌💯
1
1
29
Ukipata mtu anayekupenda shughulika na roho yake achana na Simu yake..!!🤗
2
2
28
Ume kaa zako mjini unafika mdaa uoe unasema ngoja nienda nika oe kijiji unaenda kuoa kijiji unapata mwana mke alikua na ndoto ya kuja mjini kitambo ndoto isha timia tayari una mleta mjini ana anza kukuonyesha ndoto yake ya kuja kuliona jijiji hakuna rangi uta acha kuona 😄😄💔
1
1
60
Kuna wadada wakiwa tuu na 1M kwenye acc wanaanzakusema “ Ndoa ni utaperi ”😂
1
1
20
"Mwanamke hana Koromeo." Usimpe SIRI, tajuta maamuzi yako.😩
20
Msichana hujaolewa lakiini una kitambi unajua ni Kasheshe Sanaa😅😅😅😅😅😅😅
1
1
17
Huyu Demu Anavyonisemesha Ni Kama Mkataba Wangu Moyoni Mwake Umeisha. 😎🤔
2
3
31
Na Ukicheka Na mtu Wangu Alafu After Some Days Aanze Kukutext Akikwambia Mkutane, Ujue Ni Mimi Nakuita Nikupige😂⚔️ jichanganye🙌💔⚔️
1
2
21
Wa kukubusu hadharani unaye? 😂
1
2
16
Unadate na mtu anabadili Dp wasapu kila wiki unategemea atashindwa kubadilisha wapenzi? 😂😂
1
2
18
Ni asubuhi na msichana ananuka jasho 💀
1
2
18
Waliojichubua na hili jua na hili joto, Kuna harufu flan huaga wanatoa arrrgh sijui wanaolala nao inakuaje🚮🚮😂😂
26
Ogopa sana kumwambia mtu yeyote “Huna cha kunifanya” hata kama huyo mtu hana cha kukufanya kweli.
31
Kuna hii una gombana na mamtu harafu wewe ndio umezingu akikuita hili neno (vipi bro ) Aaaa !! mwanangu jua umezingua kinoma😂💔
1
36
Mkiona vitu Mimi hutext nikikuwa in love hamwezi niheshimu Tena😂🫣
32
Bro,Ulichukua uamzi gani pale besti ako mliekua mna heshimiana vizuri ukaja ukampimisha imani kidogo harafu akaka kunyima?? elewa swali jibu swali 😂😂
33
Nime mwambia na mpenda kaniambia Shukrani!! 😂😳 Kwani ninyi huwa mnasemaje mbaka mna ambiwa nakupenda pia 🙌😁
31