GivaTips💥 retweeted
Mwanasiasa wangu bora 2026 ni Tata John wegesa HECHE.
Mwaka jana nilimpa LISSU.
Hii combination ya LISSU & HECHE inaenda kututoa KWENYE VIFUNGO VYA WAKOLONI WEUSI.
GivaTips💥 retweeted
🚨 José Mourinho: “Mbappé is Mbappé, he is unique. We have the Ballon D’Or every year…
…but the BEST player in the history of the World Cup is just ONE”.
GivaTips💥 retweeted
🔥🇵🇹 Cristiano Ronaldo reaches 985 career goals after scoring a hat-trick for Al Nassr! 🤖
15 to go for 1.000 career goals.
GivaTips💥 retweeted
Roho hizi lazma zipate haki, waliochukua roho hizi lazma wawajibike.
Hatutotulia mpaka haki ipatikane…
WATANZANIA MSIKUBALI EXCUSE ZOZOTE ZA WAUWAJI NA MACHAWA WAO,UKWELI NI KWAMBA WALIFANYA MAUAJI HAYA ILI WAENDELEE KUTUNYONYA NA KUJITAJIRISHA WAO NA FAMILIA ZAO……
HATA BAADA YA KUFANYA USHETANI HUU BADO WANATAKA TUNDU LISSU AWAPIGIE MAGOTI. ETI TUNDU NA FAMILIA YAKE WAWAOMBE MSAMAHA WATU WALIOFANYA USHETANI HUU….
@TunduALissu Baba yetu endelea na msimamo wako. Hawa mashetani TUTAWASHINDA!!!!!!!!!!
GivaTips💥 retweeted
Today, the High Commission of Canada in Tanzania team gathered for a moment of silence to mark the one-year anniversary of the October 29, 2025 elections in remembrance of the victims and the lives lost.
GivaTips💥 retweeted
Football belongs to the fans! Thank you to all the fans around the world, the Ballon D’Or of All Time is also yours.
GivaTips💥 retweeted
Leo, timu ya Ubalozi wa Kanada nchini Tanzania ilikusanyika kwa ajili ya muda wa ukimya kukumbuka mwaka mmoja tangu uchaguzi wa tarehe 29 Oktoba 2025, ikiwakumbuka waathiriwa na wote waliopoteza maisha yao.
GivaTips💥 retweeted
Nasadiki kwa Kanisa Moja Takatifu Katoliki na la Mitume.🙏❤️
#Mo29 #TanzaniaMassacre
GivaTips💥 retweeted
Hii siku siwezi isahau kabisa. Sikuwa na silaha wala kizuizi chochote mwilini mwangu.
Ila nilitembea kila mtaa kujaribu kutoa first aid kwa waliopatwa na changamoto. Na kuwapa moyo waliokuwa wanatutoka.💔
Ilikuwa siku nzito. Wapumzike kwa Amani wote tuliowapoteza 29/10. 🙏🏽 – at Kenya
GivaTips💥 retweeted
Umepita mwaka mmoja toka nimpoteze mshkaji wangu niliesoma nae na kushare nae moments nyingi sana.
Until we meet again brother 🕊️
29/10/2025
GivaTips💥 retweeted
Today, the U.S. Embassy community joined me to honor the memory of all those who lost their lives in the violence surrounding Tanzania’s October 2025 general elections. We remember them, and the families who still grieve and seek answers. As I said to the U.S. Senate during my confirmation hearing, this will not be swept under the rug.
GivaTips💥 retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia.
Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama.
Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki.
Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa.
Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo.
Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo.
Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe.
Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni.
1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote.
2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela.
3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi.
4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia.
5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake.
6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu.
7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu.
8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini.
Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo…
Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii.
Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa.
Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote.
Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
































