Pius_Fanuel🇹🇿 (@gondeka_) header
Pius_Fanuel🇹🇿 (@gondeka_) profile picture

UDSM Alumni📗 Cultural Heritage Expert🏛 Tour Guide with License | Professional in Cultural & Historical Tours | Translator |

Joined April 2017
Ulishawahi kwenda Camping..? Unaijua raha yake.? Basi hii sio ya kuikosa. Hawajamaa wameandaa hii Camping ambayo itafanyika Pugu Hills wapigie 0657701071/0744701071.
1
89
Today we celebrate your dedication, resilience, and the incredible contributions you make every single day. As you enjoy this well-deserved Workers’ Day, we at Crossroots Heritage Tours invite you to extend the celebration with us on 2/5/2026 we will visit Mbudya Island
1
2
34
Hii hapa sio ya kuikosa, Twenzetu Mbudya ukatengeneze Marafiki wapya mwezi May. Safari ni tar 2/5/2026, Usipange kukosa. Unaweza kuwasiliana na waandaaji ambao ni Crossroots Heritage Tours, kupitia namba yao +255744701071 or +255657701071.
1
1
2
41
Resident(Tanzanians) 55,000, p'ple with Resident Permit 120,000, wethought $60
20
Moja ya jambo ninalojivunia ni kuwa kati ya Watanzania wachache tulioweza kupanda Ukuta Mkubwa wa China (Great Wall of China). Zipo kuta mbili, moja njia yake ni ngumu sana na nyingine nyepesi (wengi huitumia). Mimi niliweza kupanda kuta zote mbili na haikuwa kazi rahisi.
2
3
7
653
Sisi waha hatuelezi jambo lolote linapokuja suala la chakula hiki.(ugali wa Muhogo, Kivunde, Nyamnyam, Mgebuka na Mteke)
4
7
2
32
7,742
Minaki High School 2014. Darasa letu la HKL tulikuwa 20 tu.
73
13
7
609
63,630
Pius_Fanuel🇹🇿 retweeted
Ni ngumu sana kunitenganisha na wanangu.. Hapana sio ngumu,NI HAIWEZEKANI Hawa ndio wanakuepo kwenye shida zetu,wanatatua na kutustiri aibu zetu, Vile unavyoviona vinadhalilisha sisi tunazungumza nao kama sehemu pekee ya kupata faraja zetu..
3
7
13
1,369
Makabila ya Nyanda za juu Kusini maeneo ya Songea, Nyasa, Mbinga na Wamanda. Wanangoma zao Maarufu inayofahamika kama MGANDA (hii wanacheza wanaume ili mwanamke aweze kuchagua mume) na KIHODA hii ngoma wanacheza wanawake ili wanaume wachague wenza (Mke). Wote huwa wanajituma
7
745
Tujikumbushe tena kuhusu Vita vya majimaji
HISTORIA YA VITA VYA MAJIMAJI. Yapo mambo mengi ambayo yalifichwa na hayazungumzwi juu ya viongozi ambao ndio waasisi wa vita hii iliyopiganwa kati ya Jeshi la Kimatumbi dhidi ya Wajerumani mwaka 1905 - 1907. Hapa tutapata nafasi ya kwenda kuwaelezea viongozi hao. Twende 👇👇👇
3
361
Pius_Fanuel🇹🇿 retweeted
HISTORIA YA VITA VYA MAJIMAJI. Yapo mambo mengi ambayo yalifichwa na hayazungumzwi juu ya viongozi ambao ndio waasisi wa vita hii iliyopiganwa kati ya Jeshi la Kimatumbi dhidi ya Wajerumani mwaka 1905 - 1907. Hapa tutapata nafasi ya kwenda kuwaelezea viongozi hao. Twende 👇👇👇
1
13
1
16
1,791
Wale tuliosoma Boding tulikuwa makini sana siku ya wali, kila mtu alikuwa karibu kuona ugawaji wa chakula unaendaje. Ila ilikuwa ni lazima uone sahani ya Mgawaji kama kajipendelea.
1
7
375
TUENDELEE KUTUMIA MITANDAO YETU VIZURI, MAANA HII HII MITANDAO, WATOTO WETU WANAWEZA KUJA KUKOSA FURSA MBALIMBALI SHAURI YA MANENO YETU YA KASHFA KWA WATU WENGINE.
1
2
311
Kwa wale wapenzi wa Historia na kutaka kufahamu mambo mengi hasa ndani ya jiji la Dsm nimewasogezea hii kitu hapa ni kwa 30,000 tutaweza pitia zaidi ya maeneo 20 ya kihistoria jijini Dsm. @mpambazi @zipporah_zealot nimewasogezea hii kitu njoo ufurahie.
4
8
1,385
Nilipata wasaa wa kutembelea Mbuga ya Milima ya Udzungwa, nilipofika hapa niliweza kuuliza asili ya jina la Mbuga hii "UDZUNGWA" waliniambia awali lilikua ni "WATSUNGWA" ambao ni jamii iliyokuwa ikiishi chini ya Milima hiyo ambayo jamii hiyo kwa sasa ni "WAHEHE".
1
1
3
544
Pius_Fanuel🇹🇿 retweeted
For this reporting here, @nsamila and I traveled to Berlin, Germany and Songea, Tanzania. Shoutout to @mariyamgichan who visited @MuseumTanzania with me. Picture 4: with @gondeka_ #pamojart #gjheritahewalks 4/4
3
5
370
Pius_Fanuel🇹🇿 retweeted
Tarehe 16/11/2024 watu walikuwa katika mihangaiko yao ghafla ghorofa likadondoka na watu kufukiwa na vifusi. Nini cha kujifunza hapa. 1. Tuishi tukijua pumzi ni ya MUNGU mda wowote anaweza kukuhitaji katika makazi yake ya milele. 2. Tupendane na kusamehana. 3.Cheka na Kila mtu
1
1
167
Pius_Fanuel🇹🇿 retweeted
👉Jogoo wa ajabu 👉Mua uliozamisha meli 👉pamela na kipini 👉 sadiki na chitemo 👉punda wa dobi 👉nani atamfunga paka kengele 👉juma na uledi 👉tola Alia gizani 👉sizitaki mbichi hizi 👉sikuelewi 👉 mfalme anataka laa laa laa 👉awafu mwenye nguvu Ongeza nyingine hapo chini😁👇
72
49
2
161
22,952
Pius_Fanuel🇹🇿 retweeted
Je, wajua kuwa Sanamu la Posta ni sehemu ya urithi wa Tanzania? 🇹🇿 Pius @gondeka_ mhifadhi wa historia, alitufahamisha zaidi kuhusu hili ndani ya kipindi cha Better Morning hapa Boresha Radio #BetterMorning #BoreshaRadio #SanamuLaPosta #UrithiWaTanzania #Elimu #UrithiWetu
2
3
90