Replying to @Cristiano
@Cristiano pra sempre meu ídolo ❤️
hussein retweeted
Congrats on your retirement from international football @Cristiano ⚽️🙌🏿 You made us all a fan 💫
hussein retweeted
I am genuinely confused what Peter wants here. Americans said they don’t want war through the ballot box, but he is saying it to their face that he did not hear them. And he wants more wars.
Where does he get the appetite?
Kivipi culture mixing ni disadvantage, ni weakness? Pia hupendi binadamu wawe huru?
Kivipi culture mixing ni disadvantage, ni weakness? Pia hupendi binadamu wawe huru
Haya mambo mengine zingekuwa zinapigwa kura. Majaji hawatoshi na hakuna ushahidi wowote kwamba wanafaa kufanya maamuzi ya aina hii.
Tubadilishe taratibu zetu za kuendesha mambo.
#HABARI Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta kisheria baadhi ya kanuni zinazoruhusu adhabu ya viboko shuleni, baada ya kuzitambua kuwa zinakiuka Katiba ya nchi kwa kukinzana na haki ya utu wa binadamu na uhuru dhidi ya adhabu za kikatili na zinazodhalilisha.
Katika uamuzi uliotolewa Novemba 3, 2026, kupitia usajili wake wa Dodoma, Mahakama Kuu imebatilisha Kanuni za 2, 3 na 6 za Kanuni za Elimu kuhusu Adhabu ya Viboko za mwaka 2002, zilizotangazwa kupitia Tangazo la Serikali Na. 294.
Jopo la majaji watatu, Amir Mruma, Hassan na Irene Musokwa, limebaini kuwa kanuni hizo zinakiuka Ibara ya 12(2) na 13(6)(e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, zinazolinda utu wa binadamu na kupiga marufuku adhabu za kikatili na zinazodhalilisha.
Kesi hiyo ilifunguliwa mwaka 2025 na Samweli Maduhu Mangu dhidi ya Waziri wa Elimu, kwa msaada wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kufuatia kifo cha Mhoja Maduhu, mwanafunzi wa kidato cha pili aliyefariki baada ya tukio la madai ya kuchapwa viboko shuleni.
Mhoja alifariki Februari 26, 2025, katika Shule ya Sekondari Mwasamba, wilayani Busega, mkoani Simiyu, baada ya kudaiwa kuchapwa na mwalimu kwa kushindwa kukamilisha kazi ya kikundi ya somo la Jiografia. Inadaiwa kuwa alipigwa sehemu mbalimbali za mwili, ikiwemo kichwani, alipokuwa akijaribu kujikinga, huku wanafunzi wengine waliokuwa hawajakamilisha kazi hiyo pia wakiripotiwa kuadhibiwa.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha
hussein retweeted
💚❤️🏆 Cristiano Ronaldo’s speech when delivered first trophy ever for Portugal, Euro 2016.
“It’s the happiest day of my life”.
hussein retweeted
Congratulations on an incredible international career, @Cristiano 🐐🇵🇹
Enjoy your retirement ❤️
hussein retweeted
❤️🩹🇵🇹 The end of a legendary era. Cristiano Ronaldo leaves Portugal with 146 goals in 234 games.
hussein retweeted
Thank you, Cristiano 🇵🇹
#FIFAWorldCup
You were great in that 2016 European Title run 👑
Parabéns, mano, por esta caminhada tão bonita! 🙌🏾🇵🇹
Inspiraste-nos a todos e fizeste-nos acreditar que, como portugueses, podíamos ser os melhores do mundo. Fizeste-nos sentir orgulho em nós próprios, como povo e como seleção.
És e serás sempre uma referência para todos nós que te seguimos e que partilhámos contigo momentos maravilhosos, dentro e fora de campo.
A Seleção é o ponto mais alto das nossas carreiras e tenho um enorme orgulho em ter feito parte da tua história. Para mim, és o melhor de todos os tempos, não só pelo jogador que foste e por tudo o que deste à nossa Seleção, mas também pelo que representaste para todos nós.
Mesmo quando muitas vezes discordávamos, estávamos sempre a crescer, a melhorar e a aprender. E isso também te devemos.
Por tudo isso, só posso dizer: muito obrigado, Capitão! O que fizeste por Portugal e por todos nós jamais será esquecido. 🐐👏🏾
hussein retweeted
🚨🇵🇹 OFFICIAL: Portuguese Federation confirm plan for a special farewell dedicated to Cristiano Ronaldo.
“This will always be your home”, statement from FPF adds. 🏡



























