Ntibha Jackson🎙️ (@icon___08) header
Ntibha Jackson🎙️ (@icon___08) profile picture

mcee and Song writer ✍️

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2020
Photo by Ntibha Jackson🎙️ (@icon___08)Photo by Ntibha Jackson🎙️ (@icon___08)Photo by Ntibha Jackson🎙️ (@icon___08)Photo by Ntibha Jackson🎙️ (@icon___08)
Please Naomba Repost yako🙏 #AfyaYaJamii Mada: je ni sahihi kutafuna au kufungua dawa ambazo zinakua katika mfumo wa capsule(💊) Nifollow @icon__08 kisha angalia videos hapo chini 👇 Part 1
7
39
4
66
15,651
Huyu Niffer nani kampa mamlaka ya kua mshauri wa masuala ya mahusiano na malezi ya wanachuo? 🙁
1
2
91
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhali🥰 👉 Size S,M,L,Xl,& XXL 👉Bei 25,000/= Wa.me/+255717251747 Au 0713800448 📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
11
81
1
81
565
Good morning future Billionaires 🙏❤️🫂
1
69
Tz hakuna wasanii au
Introducing the 2027 Grammy Nominees for Best African Music Performance: 🎵 “GRATITUDE” @asakemusik 🎵 “AYE KAN (ARE YOU COMING BACK?)” @angeliquekidjo, @Ayrastarr 🎵 “NO TRADITION, NO AFRICA” - KING AYISOBA FEATURING @RockyDawuni 🎵 “BIG DADDY” @temsbaby 🎵 “JOGODO” @asakemusik& @wizkidayo Watch the Grammy Awards LIVE Feb 7, 2027 on ABC, Disney+ and Hulu.
1
170
Naombeni link na mm nikasafishe macho wakuu 🤒
1
3
7
245
Good morning future Billionaires 🙏❤️🫂
6
7
9
144
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Umaskini Tuukemee kwa nguvu zotee🙌
7
8
116
Ndio mmeanza maombi ya kufunga 😂
This time next week: United at Anfield 📍👊
121
Ndoto yangu nije nipige ka albino kasafi kama haka 🤓
This quoted post is unavailable.
95
Mademu wabaya wanakuaga na Confidence sana 🤓
1
3
293
Huyu wa sasa kitunganishe kifeo igwe igwe 🤓
2
139
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
B/W
12
20
10
33
3,944
Wachezeshe hivi halafu uwaambie ubwabwa umeisha 🤣
Islamic education.
74
Tamko?
Serikali ya Tanzania imesisitiza kutounga mkono mapendekezo yanayotaka kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja na kuondoa adhabu kwa makosa ya kujamiiana kinyume na maumbile, ikieleza kuwa msimamo huo unazingatia Sheria za Nchi, mila, desturi, tamaduni na maadili ya Jamii ya Kitanzania. Akiwasilisha msimamo huo, Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Ulega wakati wa kuwasilisha msimamo wa Tanzania kuhusu mapendekezo yaliyotolewa katika mchakato wa Mapitio ya Hali ya Haki za Binadamu kwa Nchi (UPR), chini ya Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, amesisitiza kuwa Serikali itaendelea kuzingatia Sheria zilizopo na maadili ya Jamii ya Kitanzania. Aidha, Tanzania imeeleza kuwa haijaunga mkono jumla ya mapendekezo 68 kwa sababu mbalimbali, zikiwemo baadhi yake kutofautiana na misimamo ya Kitaifa, pamoja na hitaji la kufanya utafiti, tathmini na mashauriano zaidi kuhusu athari zake za kisheria, kisera, kijamii na kiuchumi. Serikali imefafanua kuwa maamuzi kuhusu kuridhia mikataba ya Kimataifa na kufanya mabadiliko ya Sheria yanayogusa maisha ya Wananchi yanapaswa kufuata taratibu za kikatiba na kuhusisha mamlaka husika, ikiwemo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. #MillardAyoUPDATES
2
91
Huku sasa Kutana na akina Shekh Mwakibete
لحم الخنزير في الامارات 🇦🇪 حللنا بيع لحم الخنزير ويجوز بيعه لأنه مرخص من حكومة بو خالد محمد بن زايد
1
127
Ntibha Jackson🎙️ retweeted
Vikwazo na changamoto ndivyo vinavyokuvusha kwenda hatua nyingine.
4
8
176
Lower ur expectations WATu wanabadilika 😂
1
4
236
Kweli hizi dini tuliletewa kmmke 🤒
2
2
6
315
Huyu binti amejifungua na kukukitupa kichanga baadae wananchi wakamgundua na kumuambia awapeleke alipo kitupa 💔 Guys vaaeni Condoms 😎
1
1
3
602