NYANI MZEE (@jwise017) header
NYANI MZEE (@jwise017) profile picture

Mtanganyika | Mkulima | Polygamist |Afisa Ubashiri | Beer & Bebez | Babu | Katikati ya usiku nitaamka nikushukuru ๐Ÿ™๐Ÿฟ #VituVyaPeponi #MatomboStyleโญ๏ธ

Matombo, Morogoro, Tanganyika
Joined November 2010
Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)Photo by NYANI MZEE (@jwise017)
UKWELI MCHUNGU: Kama baba yako angeamua kukwambia mabaya aliyokuwa anafanyiwa na mama yako hiyo heshima unayompa mama yako leo wala usingempa. Mama zetu tunawaheshimu na kuwapenda kwa sababu tu baba zetu waliamua โ€œkufa kiumeโ€ na mambo yao moyoni. Heshima kwa wababa/wanaume wote!!
36
218
13
985
182,695
NYANI MZEE retweeted
"Sisi ni Kahawa,Kahawa ni sisi" #CoffeeGang โ˜•๏ธ๐Ÿ“Nanjilinji CBD
2
4
2
10
551
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Unaaminika ila
1
1
1
107
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Malezi wakati mwiko unaoshwa tu baada ya kupiga ugali
1
2
78
Kuna mzee mwenzangu mmoja namfahamu anakula mbaazi miaka zaidi ya 15 sasa yuko poa amenawiri halafu anapenda teketeke kama mimi tu. Mungu alitukosea sana kuuweka huu ugonjwa kwenye unyevu.
3
2
26
1,152
Shuka la MSD
Ukipoteza fahamu kisha ukazinduka baada ya siku tatu; utatumia kigezo gani kujua umezinduka ukiwa nchi ya Afrika?
1
3
474
Ukipoteza fahamu kisha ukazinduka baada ya siku tatu; utatumia kigezo gani kujua umezinduka ukiwa nchi ya Afrika?
2
1
4
649
NYANI MZEE retweeted
Swali la kimkakati sana. ๐Ÿคฃ
1
1
28
Replying to @jwise017
Na hapa hatuongelei mapishi. ๐Ÿšถ๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ
1
1
1
223
NYANI MZEE retweeted
Replying to @__sheriii @jwise017
Legacy ya the late ta'Mufuruki.
1
1
22
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017
Woolworths mnajua originally ndio walipoanzia?
1
1
150
Replying to @jwise017
Huyo msungo
1
83
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Kuishi na mtu ambaye anapika halafu haoshi mwiko miyeyusho sana ๐Ÿšฎ
1
1
38
Replying to @jwise017
No way ๐Ÿ˜€
1
1
176
Elewa neno "kupika"
Kuishi na mtu ambaye anapika halafu haoshi mwiko miyeyusho sana ๐Ÿšฎ
3
4
17
474
Replying to @jwise017
Usije chekelea ukadhani ni namba ya chumba cha hoteli๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
1
1
316
Oyaa ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜‚
Ukiona gen z kaandika โ€˜304โ€™ mahali jua amerefer neno โ€˜hoeโ€™ wazee wenzangu msije chekelea hiyo ni matusi, sawa?
2
1
721
NYANI MZEE retweeted
Replying to @jwise017 @Kunde0
Babu huwezi kurudi tena Milimani kule! ๐Ÿ˜‚
1
1
64
NYANI MZEE retweeted
Au anaacha ukoko wa ugali kwenye sufuria ๐Ÿคง๐Ÿ’”
Kuishi na mtu ambaye anapika halafu haoshi mwiko miyeyusho sana ๐Ÿšฎ
1
1
66
NYANI MZEE retweeted
Oct 29 imeacha Trauma na watu wanatumia pombe kama escape mechanism.
1
15
90
805
I have a degree in Statistics, from udsm.. But i manage trucks,supply building materials for a living๐Ÿ˜Œ
I have a degree in accounting and finance but I sell cakes for a livingโ€ฆHow about you?
16
24
1
204
12,246