
In perfect world everyone is blind | @ManUtd |@realmadriden | @blackYellow |@inter_en | @yangasc1935 |Spooky place 134M...
Tanganyika |A-Town |Sokoni one
Joined December 2011
- Tweets318K
- Following4.4K
- Followers18K
- Likes956K
Mm Mzee wangu amewakuza wadogo zake wote juzi wamempeleka mahakaman hawamtambui kama Ni kaka Yao kisa eneo lake alilotuzaa wanataka kulichukua ndugu Ni nyoko
Replying to @mackphason
Kaka, hujawahi pitia yaliyotusibu. Kuna watu tuliwaamini na kuwashika mkono wakatugonga ili tuanguke Mungu akatudaka. Acha kabisa mzee ndugu NI nyoko sometimes, Mimi siwajibiki Kwa ndugu zaidi NI wazazi na wanangu. Hata mke anaweza kukumaliza akatumie jasho lako na mwingine
Naangalia USALAMATV hapa kupitia YouTube "live", Ibada ya mazishi ya Baba Mzazi wa IGP Wambura. Wapo mawaziri kadhaa akiwemo wa Mambo ya Ndani, Katambi, Mkatoliki kumbe. IGP Camillius aliyesaidia kuwafyeka wale vijana wetu Oktoba 29, 2025 naye kumbe Mkatoliki.
Yupo CDF Mstaafu
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
This was the grand entrance of Linda Mwananchi in Jacaranda headed by HE Sifuna.
Broadbased is dead 😂🤣
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Katika jamii yetu, ukikosea adhabu ni stahiki. Lakini MDUDE si tu kwamba ameadhibiwa, bali ameteswa isivyo kifani bila kosa. Tunatazamia mwanzo mpya, hatma yake, kwa shauku. #HakiKwaMdude
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
CHADEMA ndio tumaini letu la mwisho kwenye kupambana na WAKOLONI WEUSI.
Tutaendelea kuwa WAKALI SANA kwenye upumbavu wowote ule unaotaka kukirudisha CHAMA ZAMA ZA SIASA ZA SOSEJI.
Hapa tulipo MASISIEMU hayapumui kwasababu ya CHADEMA imara, afu anatokea mpumbavu Mmoja anataka kuturudisha zama za siasa za MBOO WE HAPANA.
Tushapoteza wapendwa wetu wengi sana walioamini kupitia hiki chama, tukikengeuka saizi itakuwa ni USALITI MKUBWA SANA KWA WAPENDWA WETU.
HAKUNA KULEGEZA KAMBA, UKIKENGEUKA TUTAKUPASUA KWA WIVU MKUBWA SANA.
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Video ya kwanza, unaona wananchi wawili walipigwa risasi wakiwa wanajiona wanakufa.
Video ya pili huyo wa pili akiwa amekata roho….
Huu ndio unyama uliofanyika Tanzania October 29-Nov 2 na chama cha Mapinduzi….
Kibao Ile ya malikia ilikua balaa kwenye coaster hii uwezi sikia wakiwa na mnyonyaji mwingine wakisiasa 🤣🤣🤣
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
#FreeTunduLissu bado siku 6 atakuwa huru! Wapende wasipende!
Lissu alishasema kama wataifuta Chadema - acha wafute! But alitaka wanachama wapeleke moto na wakatae kupiga magoti - ndo maana yuko ndani anasubiri hukumu - si kwamba alishindwa to cut a deal!
Leo watu wanajifanya wanaumia sana kwa sababu ya Lissu na eti wanailinda taasisi ndo maana wanataka maridhiano! Bullsh*t 🚮
What would Lissu do angekuwa nje? Angeshatangaza maandamano! Ndo maana Nduli Idi Amin Mama anamwogopa Lissu kuliko hata moto wa milele 😅
Tuige mfano wa Lissu ✊🏽
#FreeTunduLissu
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Inter Miami was leading Orlando 2-0.
Messi, scored the third goal and after he scored, he told Orlando's bench of substitutes if they wanted his autograph.
And in the end,
Orlando won the game from 3-0 to 4-3😂😂
Messi started fighting 😂
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Nakusabahi @frediejustine mpwa!
Nimechukua muda na nimetafakari ila leo nasema na wewe hapa maana sitakutafuta tena!
Ulinisimulia kuwa ulienda kumsalimia Lissu gerezani na kumwambia chama kinaweza kufutwa mkiandamana, alikujibuje? Hakukuambia kuwa “Acha wafute chama!” Uliwahi kumwelewa Lissu kwa nini haogopi na hajawahi kupiga magoti?
Mkumbuke Soka na alivyokataa kumpigia magoti Mwamba wenu! If he was asked whether he would do it again angesema “Yes!”
Hii ndo picha yangu ya mwisho nilipiga na Soka na alikuita mpige pamoja maana alikupenda na kukuamini kama rafiki yake! Leo uko front unapambania nini? How could you!?
Soka alijua the price he was going to pay for standing on the right side of history!
Je wewe unajua the price of standing on the side of the Opressor?
Jitafakari! Mungu akuongoze!
With sincere love
Shangazi Maria
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Tar 30.10.2025 ilikuwa siku ya pili ya mauwaji ya halaiki.💔
Tangu Kimara, Ilemela, Kahama, Tunduma, Mbeya, Arusha - watu waliuliwa kinyama.
Wengine walifuatwa majumbani.
Kamwe hatutasahau ushenzi huu.
Historia hii chafu lazima izungumzwe, tuijutie, ikomeshwe, isijirudie!
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
ODM woos Kalonzo
ODM condemns heckling of Kalonzo by Sifuna supporters
ODM leaders urge Kalonzo to join broad-based government
Junet: We are shocked to see Kalonzo being heckled
Wanga: We are confident President Ruto will be re-elected
#CitizenFridayNight
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
#TanzaniaMassacre
The demons of Samia Suluhu worked for 5 days from October 29 last year to kill as many Tanganyikans as they could - not even street children were spared
Hii imeniuma mnooo! Watoto wa mitaani waliuwawa kinyama na hawa hatutakuja kuwajua majina yao, familia zao! Miili yao imeemda kufichwa, kusagwa - ila #Hatutasahau
Wao pia ni mashujaa wetu
Mzamzibari Samia Suluhu umetuua mno na ukajitapa ulipofika Zanzibar kuwa ulitunyukua! Watanganyika WAPUMBAVU wanaokutumikia wanafikiri ni sifa - watalipa haya! Wote mtawajibika! Damu ya wasio na hatia itawafuata kwa vizazi vingi ukoo wenu wote! Mashetani wakubwa!
#SamuaMustGo #WeShallNeverForget
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
“Once Ronaldo retire, he won't be remembered”
Meanwhile Barcelona academy:
Mackphason מקפסון⚽ 🇯🇲 retweeted
Wazungu wamebana misaada kila kona Wabunge wanajadiliana kubana matumizi ya serikali kupunguza kununua magari ya kifahariiii
Haya mambo si ndo walotekwa ndo wamekua wakihoji na kupigia kelele kila siku.






















