C H É N Y Á N G (@mancaster06) header
C H É N Y Á N G (@mancaster06) profile picture

2026 will be WINS and GREATNESS Inshallah

Marrakesh Medina, Morocco
Joined December 2019
Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)Photo by C H É N Y Á N G (@mancaster06)
No matter how much we have made or how much we elevated , it was always better to have a BRO by my side ~Tee Flenory
7
60
1
94
7,200
Dah mimi humu nimepata vimeo vingi Sana vya kunipa hela Na Kuna watu washawahi kunipa ushauri valuable Sana ambao ulinitoa sehemu moja kwenda sehemu nyingine
Kuna kitu kimoja kinaniumiza sana kuhusu Twitter kufungiwa Tanzania. Na nataka kuwaambia kwa nini. Mimi binafsi, Twitter imebadilisha maisha yangu. Vitu vingi nilivyojifunza kuhusu teknolojia, startups, AI na kujenga biashara, nimejifunza kupitia Twitter. Na sio kujifunza tu. Kupitia Twitter nimepata wawekezaji kutoka Marekani ambao wamewekeza kwenye kampuni yetu ya NALA. Nimekutana na watu ambao nimewaajiri. Nimejenga urafiki na mahusiano na watu ambao leo tunafanya nao kazi NALA. Watu ambao pengine nisingekutana nao maishani mwangu! Na mpaka leo, natumia Twitter kujifunza kila siku. Hasa sasa hivi, natumia Grok bot, AI ya Twitter, zaidi na zaidi. Naendelea kujifunza, kuuliza maswali, na ku-connect na watu wenye maarifa kutoka duniani kote. Sasa fikiria kijana wa miaka 20 aliyepo Mwanza, Mbeya au Kigoma. Ana simu. Ana internet. Hana connection za Silicon Valley. Hana pesa ya kwenda vyuo vikubwa duniani. Lakini kupitia Twitter anaweza kujifunza, kukutana na investors, kupata kazi, au hata kupata mtu wa kujenga naye kampuni. Hiyo ndiyo nguvu ya Twitter! Na ndiyo maana nimesikitishwa sana kwamba Twitter imefungiwa Tanzania. Kwa sababu kwangu, Twitter haikuwa tu social media. Ilikuwa darasa langu. Ilikuwa sehemu ya kujenga biashara. Ilikuwa sehemu ya kupata marafiki na connections duniani. Na naamini kuna vijana wengi wa Tanzania ambao wanaweza kupata fursa kama nilizopata mimi. Swali langu kwenu ni hili: Twitter imewahi kukufungulia mlango gani kwenye maisha yako?
1
38
Bila kuchoka Tuendelee na vimeo vya klayanti
Haya masaa 8 ya mwajiri Sasa Nikirudi niendelee ku code
21
Haya masaa 8 ya mwajiri Sasa Nikirudi niendelee ku code
1
5
89
Wakali ndio wanaitwa 300k Dah kila siku humu terminology mpya
38
Ili awatoe
Mtoe Lissu, Mlipe Stahiki Zake Zote. Itisha kikao cha Maridhiano ya Kitaifa. Badilisha Katiba. 2029-2030 twende kwenye Chaguzi Huru na Haki. Asante. A letter to you, 🙏
37
Inatafakarisha
Nilikua naongea na client mmoja kuhusu mambo ya uzazi. Aliolewa na mtoto mmoja lakini sasa hivi ana watoto wanne. Anasema kwamba, aliendelea kumbebea mimba baby Dady wa kwanza akiwa ndani ya ndoa ili “asichanganye damu”. Nimeogopa sana.
1
104
Mangungu si nilisikia umri wake umepitiliza kuwa Mwenyekiti
2
78
Duh Inawezekana Buza mimi siijui kumbe
Replying to @AdiluAziz
kumbe maeneo ni mengi 😄 Mtaani Buza kaka kwa lulenge. Miguu ya kuku, chips za kupima, utumbo wa kuku . yaani ni kujiachia
1
2
96
Kuna chat bot nilikuwa na develop hapa 😂😂 Very funny
1
43
Mimi hadi wazee wangu hawajuagi niko katika state gani Kwa muda huo Waiti inafichwa muda wote
Imenichukua miaka mingi kuja kugundua kwamba, haijalishi unawaamini kiasi gani marafiki zako wa karibu na ndugu zako, kamwe usiwaambie kila kitu kuhusu maisha yako. Dear me😔
1
1
130
😂😂😂
bro anakula katumani leo but mask hii mask ata madawa hawezi toa
13
Wale ndugu zetu pale Palestine wanauwawa kila siku huwezi kusikia mambo ya ugaidi Kwa wale wakali wanajiita taifa teule Ila waislam wakipiginia wanayotaka simply wanawaita Magaidi It's funny
2
48
Kosa la huyo msela mmoja ni million ya Makosa Hai manjagu wanafanya kila siku Watu tolerance inafika mwisho
Mtu ambae hajawahi hata kulala lockup hawezi elewa uzito wa msala wa kumpiga askari mwenye uniform, mtandaoni tunajazana tu upepo ila ikitokea umejichanganya utabaki kwenye msala peke yako.
79
Hao ni wachache wengi ni survival mode
Yule mtu aliyowaaminisha wale "financial content creators " kua watu wanaolipwa mishahara wana maisha magumu alifanikiwa sana.! Kuna salaried homie wana bag kibunda kingi sana ni basi tu wameamua kutufanya case study sisi Tamisemi! 😁
2
43
Wataalamu Dogo janja wangu kamaliza f4 this time nataka nimfanyie mpango wa short course afanye Hichi kipindi wakati Anasubiri result apate some skills Mnaweza mka recommend ujuzi na chuo NB: Ni binti
1
159
Miaka 2 mbele Inshallah
Wazazi wangu ni baraka kubwa sana!! Kuna muda wanahakikisha ndoto zangu zinatimia kupitia wao! Asanteni kwa kila jambo wazazi wangu, na sasa rasmi leo tunaondoka kwenye nyumba za kupanga. NI MUNGU NA WAZAZI!❤️🔥🙏🏽✅
59
"Huyo jamaa" Aaah kmmk😂
This quoted post is unavailable.
11
Hawa mabloo wenu wanalipwaga bei gani kwenye hizo # Ni 20k kama zamani au
1
4
73
Captain Tesha mchizi alipotelea wapi?
1
5
103