Boaz Mbundu (@mbundub) profile picture
Joined January 2014
Mfanyabiashara maarufu nchini, Rostam Aziz amesema mtu yeyote ambaye anaushahidi kuwa biashara zake sio halali aupeleke Mahakamani na sio kuendelea kumchafua mtandaoni. Akizungumza na wanahabari jijini Dar es Salaam Bilionea huyo ambaye amewahi kuwa Mbunge wa Igunga amesema ni aibu kwa kiongozi kudai anatetea wanyonge kwa kutengeneza porojo za kumchafua. “Watu wanapiga porojo na ninawapa changamoto waende mahakamani. Mimi ninaaminiwa na benki za ndani na za nje ndiyo maana wananikopesha,” amesema na kuongeza “Rais (John) Magufuli asigefungua viwanda vyangu kama mimi sio mfanyabiashara halali.” #KitengeUpdates – at Dar es Salaam, Tanzania
117
48
13
1,349
131,857
[ SOPHIA MJEMA HAKUFAA KUWA MWENEZI WA CCM NA HANA UWEZO NA ANANAJISI NAFASI YA UENEZI] Mwanzoni kabisa tuliposema Sophia Mjema hafai na hatoshi kwenye hii nafasi hatukuwa tunawatania. Idara ya uenezi ya chama tawala imegeuka kuwa ni shughuli za kifamilia na bwana wa Sophia ndiye anafanya maamuzi ya ahughuli za uenezi za chama. Hatuna shida na mumewe kufanya majukumu ya uenezi lakini tunataka CCM iseme kama naye ni Katibu Mwenezi wa chama basi hatuna neno. Hiki chama siyo cha kifamilia nadhani somo hili ni humu sana kueleweka! Akina January wanafanya madudu kwa sababu baba zao walikuwa CCM ndiyo maana wanafanya uhovyo na chama kinawalinda. Njia hiyo hiyo ndiyo anapita Mjema na mumewe kwa sababu huo ndiyo utamaduni. Chama kifike mahali kimkataze Shabani Mwanga kujihusisha na mambo na majukumu ya mkewe kwa kuwa yeye siyo sehemu ya idara ya uenezi. Kukalia kimya jambo hili ni kuwakosea adabu watanzania na zaidi ni mazoea ya hovyo sana kwa watu wanaoteuliwa kushika madaraka. Chanzo chetu kutoka Lumumba kinasema mume wa Mwenezi ndiye anaratibu mpaka appointment za kiofisi za Mwenezi na mara nyingine anakwenda yeye kwenye vikao na wadau kumuwakilisha mkewe. Hii siyo sawa na hatutawaonea haya kusema huu uozo!
23
2
162
48,550
Boaz Mbundu retweeted
Leo nimepata followers 200 wengi ni wageni. nyie wageni mnatakiwa mfollow, sawa ? weka handle yako waje kwako🙌🙌🙌😛
39
4
63
Waliohusika kumuua Alphonce Chemu Mawazo 14 Nov 2015 wamehukumiwa kifo baada ya kukutwa na hatia. Naamini watakataka rufaa mbeleni. Wauaji halisi wa Alphonce wanadunda. Hawa waliotiwa hatiani wanajua waliowaagiza. Hawakutajwa mahakamani. Hukumu ya halali IPO. Rest easy Alphonce.
9
27
2
370
Boaz Mbundu retweeted
Oya kwani wote mpo busy ?Japo mida ya kazi idondoshe chap chap tukuinue angalia boss asikuone🤜🏻🤤💪
161
28
2
310
Mimi nilikua nadhani kwamba, Uwanja wa ndege wa SONGWE Mbeya ulitakiwa kutanuliwa haraka kuliko huu wa Mwanza. In my opinion lakini.🤔
64
17
6
417
Replying to @kigogo2014
huyo jamaaa nikiraza!! tulisha sema huyo jamaa kapata ziroo .anawapotosha watu !!! kila siku yuko kwenye malounge .sinza kwenye mabar leo hii pastor . mjinga mmoja huyo. Maombi yaLissu yako wapi!! washenzi nyie
1
1
3
Lowassa aitaka CHADEMA kuacha uanaharakati na kujipanga kushika dola. Asema hiyo ndiyo kazi ya chama cha siasa basi.