KevSinjah (@mtiesaJr) header
KevSinjah (@mtiesaJr) profile picture

Sales&marketing | Creativity | Sports | #SimbaSc #ManU #HalaMadrid #BoyChild

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2017
KevSinjah retweeted
“Some of the most dangerous men are not the ones who have no fear of God, but men who believes God is on their side regardless of what they do.”
16
1,054
25
5,366
63,104
NO MORE INTERNATIONAL BREAKS UNTIL MARCH!!
89
1,949
78
38,573
502,523
KevSinjah retweeted
Krazy Kenna is going international
97
1,150
31
11,099
427,177
KevSinjah retweeted
Kila unapoona viasharia vya mafanikio, wewe jua kuna gharama imelipwa.
12
51
3
369
9,104
KevSinjah retweeted
“Kadınların ilişkiler hakkındaki fikirleri en son gördükleri reels’a bağlı”
408
17,348
681
178,792
3,010,459
BTW, hii tabia na belief ndio inafanya Dar boys wasimalize safari wakiwa highway waende Sayuni highway instead, lmao. 😂 Wanaleta hii tendency huku semi imeiva au Fuso na njia hawaijui thinking itavuta kushoto. Haha. Udereva wa mjini wanaleta highway.
Dar Es Salaam kama wewe ni Learner usiendeshe gari njia ya Mbezi Beach chini au njia ya Goba haswa mida ya jioni na asubuhi watu wakiwa wanaenda na kitoka makazini. Utakua unapigwa pasi mpaka uelewe na kukulipa wanakulipa sio shida zao 😂😂
2
5
38
5,256
KevSinjah retweeted
TUENDELEE KUTOMBANA TU, HAMNA NCHI HAPA🚮
122
144
53
1,118
134,366
You ever been dead broke but God still supplied your every need ?😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
36
678
24
9,710
129,308
KevSinjah retweeted
No enemy can do what 10 months of 2026 have done to me
29
3,020
96
14,556
523,368
KevSinjah retweeted
“Toeni hukumu ambayo mmegizwa” “Siombi msamaha sina kosa” Hizi kauli zinahitaji mapumbu aisee 🙌🏼 especially ukiwa umeshakaa ndani siku 500 na kadhaa 🥺 I’M TRULY ON THE RIGHT SIDE OF THE HISTORY🥳
7
58
1
458
6,565
KevSinjah retweeted
Life likienda chini, na wewe cheza chini. Acha kujitutumua.
10
65
3
562
19,069
Cheki majeraha haya still wanamtesa 🥲
68
336
23
1,824
149,701
KevSinjah retweeted
We have failed you TAL 💔
27
158
1
902
19,920
"You will never find justice in a world where CRIMINALS make the law." — Bob Marley
2
27
1
161
4,436
Stay Strong BABA!
1
30
115
1,402
KevSinjah retweeted
Tumshukuru Mungu sana kwa maisha ya Tundu Lissu. Mwaka na miezi nane iliyopita umekuwa wa kujitoa mhanga kwa ajili ya nchi yetu. What a Man!!
26
337
4
1,608
19,118
KevSinjah retweeted
Ukichelewa unapokwenda, automatically hasira za your own failure utazipeleka kwa watu anaohisi wamekuchelewesha.
1
17
149
4,826
Lissu siyo mhaini.
39
1
223
2,341
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 498 Jaji Ndunguru anasema katika kutafisiri hicho kifungu cha 319(1-2) cha CPA Mahakama ya Rufani ilielezea kwa marefu na mapana kwenye kesi ya DPP vs Zombe kuhusu kifungu hicho kuwa sio automatic. Kwakuwa mshtakiwa hakushtakiwa na kosa dogo, Mahakama pia haiwezi kutumia kifungu hicho bila kumpa mshtakiwa haki ya kusikilizwa au kumpa notice. Kwa mujibu wa ushahidi uliopo kuwa maneno hayo yalirushwa live ili kuuhabarisha umma na video hizo video hazikutolewa mahakamani na kwa vile hajakanusha kutamka maneno hayo na upande wa jamhuri umesema kuwa alilenga kuchochea umma na mashahidi wa upande wa utetezi nao hawajakataa kuhusu mshtakiwa kutamka maneno hayo. Tumeridhika kwamba mshtakiwa kutamka maneno hayo hadharani mbele ya umma alilenga kuchochea umma ili kuvuruga uchaguzi wa 2025 kwa njia isiyo ya amani kutokana na maneno yake hivyo basi tukiongozwa na maamuzi mbalimbali na kwa muktadha wa kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu kosa lililotengenezwa na kifungu cha 390 ni kosa dogo la uhaini, kifungu cha 390 kinalengo la kuzuia crime katika hatua ya mwanzo before public harm. Kwa tafsiri yetu tunasema kifungu hiki kina prevent nia na present danger. Upande wa mashtaka wanapaswa kuthibitisha kuwa maneno ambayo mshtakiwa aliyatamka kufanya instigation yalikuwa communicated, pia mshtakiwa alilenga kuwa mtu au watu watende kosa. Tunaelewa kwamba kifungu cha 390 kinatumika kwenye kosa lolote hakijataja kosa lolote pale, tunaamini kwamba kufanya kosa la uchochezi kunaweza kupelekea present danger, tunaamini ni minor offence na ni cognate offence kwa mujibu wa 39(2)(d) cha Kanuni ya Adhabu. Ni kwa mtazamo wetu sasa kwamba ni common sense kwamba incitement ni component ya offence ya treason hivyo sio lazima mtu awe charged independently. Kulingana na ushahidi uliotolewa mshtakiwa alichochea umma kuvuruga uchaguzi, kuzuia uchaguzi, kuhamasisha uasi na kukinukisha vibaya sana. Upande wa utetezi haujaonyesha ni kwa namna gani walipanga kuzuia uchaguzi, kuhamasisha uasi, na mashahidi wa upande wa Jamhuri walieleza namna ambavyo walishawishika na maneno ya mshtakiwa mfano shahidi wa 4, 5,8 ,11, 13, 14 walishawishika na kujiunga na wale ambao walishawishika ili waweze kuvuruga uchaguzi. Part 499 itaendelea kwenye post inayofuata, Naomba Repost yako.
116
567
27
1,582
147,986
KevSinjah retweeted
Can confirm: we love each other so much as Tanzanians—Sisi ni ndugu. The love Tundu Lissu has received from our compatriots and colleagues beyond our borders is unmatched. May we fix our country and live freely as Mwalimu left us.
19
192
3
867
16,942