RawMan🇰🇪 retweeted
Niko undisclosed location Emba tuna watch game ya Harambee. Key issues being discussed including ma defender imbo hawaezi clear ball. Also vile bei ya koti ya mkuu inatosha kupanda nyasi mzuri hapo Nyayo. Ineza kua ukweli lakini pia labda zime nice.
RawMan🇰🇪 retweeted
Sasa what was the logic behind millennials kuficha their mpesa pin wakilipa mat as if you'll ever meet them again
RawMan🇰🇪 retweeted
Huwa natamani siku moja ata nipande ndege buana. That's my dream ata kama ni for 5Km. Naskiaga kwa ndege kuna choo ingine ikona shimo ukiachilia mzigo inateremka inapotelea kwa atmosphere.
RawMan🇰🇪 retweeted
Laiti ingekua leo, ningekukumbatia tenaa aah,, na tenaaaaaaaaaaaaaa
Type yangu ina act vipindi
























