Pinned Tweet
NATOA SHULE YA BURE NA RAHISI
Nimeona Comments watu wanasema sisi hatutumii mfumo wa kielectronic kupiga kura tunatumia makaratasi sasa mfumo unahusika vipi? Niseme tu ukiongea hilo neno kwa sisi wataalamu wa mifumo tutakuwasha kibao shuka na huu uzi kisha Retweet uwafikie wengi
Nobel Prize 🏆 loading.
With you through it ALL.
@TunduALissu
Siku Nchimbi anateuliwa kua makamu wa Rais CCM walishangilia sanaa adi kidogo wavunje spines leo kafukuzwa wanashangilia pia yaan ni kama ma vilaza
Mamae makamu wenu kasoma O-level miaka 2 tu yaan form I-IV katumia miaka 2 from 1996 to 1998 . CCM linapokujaga swala la shule aloo wanakuaga wadogo kama pilliton jamaa shule kichwani hamna na ku forge hawajui ona sasa hizi fedhea wazee wa Elimu za pakistan 😂
Hii ni maajabu, Makamu wetu tunaendelea kufukua mafaili yake. Alizaliwa 1983 eti mwaka 1988 akiwa na miaka 4 akaanza shule ya msingi. Miaka hiyo ya 1980s una miaka minne uanze shule ya msingi? Maisha ya hawa kijani ni ya kuunga unga sana shule hamna.
Fununu zinasema asili yake ni kutokea kwenye visiwa vya Karafuu. Nikitumia ushahidi wangu nikiangalia hii dashboard na hizi side mirror nahitimisha kwa kusema apa tumechezewa kekundu awamu hii watanganyika kazi ipo.
Makamu wenu mpya, anadanganya Secondary Advance amesoma Merton College, London wakati Merton ni chuo cha kati na hawatoi kabisa elimu ya secondary.
Zile zile elimu za mama yenu za kuunga na tape yaan wameona walete kilaza kama wao mtu Masters kaanza 2019 mpaka leo hajamaliza 😅
Daktari wa Sheria ngoja niwaelimishe kidogo japo nimesoma Medical Law ila Law ni Law tu 😅. Mnaosema nchimbi hatapata mafao yake na stahiki za VP mstaafu mnajua sheria nyie? Amefukuzwa baada ya kujiuzulu. Yaana Rais alikosea kusema amepokea barua yake hi imemaliza kila kitu.
CCM wanaimba kila kukicha maridhiano maridhiano ila wao wameshindwa kabisa kuridhiana. Mi nasema kila siku maridhiano ya CCM ni ya uongo wenyewe kwa wenyewe tu wameshindwana
Za Ndani: Mtaka ndio wanataka wampe ziko lile la Umakamo wa Rais ila duh 😁
Huko watu wanatapa tapa vibaya mnoo.
BREAKING 🔥
Aliekua Mpishi ofisi ya Nchimbi ameuawa. Taarifa zilizotufikia zinasema mpishi alikataa kufata maelekezo ya kumzuru Makamu. alipouawa Nchimbi alisema watangaze kifo chake kulikua na namna walikua wanataka kuficha kifo chake kauawa na Genge la mama. Mafia State.
Tulifundiwa Hakuna alie juu ya sheri. No one is above the LAW. Imekuaje tena Kizimkazi finest anakua juu ya sheria?




















