Guevara🇰🇪 retweeted
Kuna mama amehamia hii tiplo yetu juzi nashangaa venye anaacha watoto wawili wako around 1.5 years old kwa nyumba na anaenda mboka, huyu atatuchomea ploti jameni 😂😂 Shida ya kuzaa bila mipango
Guevara🇰🇪 retweeted
There is a place in Kiambu hukuwa na a lake na nimepata kuna sharp boys wanalewa na your girlfriends. I don't know the name lakini nitawaonyesha zikishuka.
Guevara🇰🇪 retweeted
Taxin nmewekelea huku locals hata siwezi pata space ya kutema mate imebidi ninunue mwiko ya chwani ndo niigeuze na NACADA wametulia tu!!
Guevara🇰🇪 retweeted
Kama Id number yako inaanza na 3 na bado hujaoa you need to think more about your life bro😂
Guevara🇰🇪 retweeted
Caicedo ameanza kuniitisha sijui za nails mara salon. Mara ameanza zile za "I deserve better." Its like simps wamemfikia. I thought am safe??
Guevara🇰🇪 retweeted
Nimepitia in-between magari zikiwa kwa jam hapa CBD, nikaskia mathe flani akisema hawa ni wale wa kuiba simu🙁
Guevara🇰🇪 retweeted
Whoever replaced me yesterday night issokay. Huyo aunty yake anaeza sema kila mtu alale kweli🥺💔



















