Lastborn (@prnce_23) header
Lastborn (@prnce_23) profile picture

Loves Spiritual knowledge|Admires Ancient knowledge|https://teapawt.org/t.co/56KRP8Vuzw

Somewhere, Africa
Joined May 2025
Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)Photo by Lastborn (@prnce_23)
Hata Mimi nataka maridhiano lakini tunahitaji uaminifu wa Mchakato huo kuanzia Kwa vyomba vya usalama, Mahakama, Bunge na Serikali yote Kwa ujumla. Nipo tayari kuunga mkono maridhiano ikiwa wawakilishi wetu ni: 1. Humphrey Polepole 2. Deus Soka 3. Mdude Nyagali
486
Nakumbuka 30/10 nilikua kama mstari wa 3 hivi tupo nyomi. Ni wazi wapo waliokua wanasema jamani Kuna kufa kama wewe muoga jitoe pembeni ila ndo kwanz ni kama morali ndo ilikua inapanda watu wakisema hivyo. We knew there was death it was a matter of time. Dak kadhaa mbele..
1
452
Ziliingia cruiser za askari hawakua na sare ya kijani na kaki ila full black na face mask. Kilichofata ni mziki wa risasi aisee, frontline kadhaa walilala palepale hawana usemi, baadhi majeruhi. Njugu zilipenya mpaka tulipo Mimi nilikua katikati ya wadada wawili na waliniambia..
2
208
Wamefunga uwanja wa comment na ving'amuzi wanashawishi tulipie
#NBCPremierLeague inaendelea wikiendi hii Jumamosi Novemba 8, Saa 10:00 jioni Pamba Jiji watakuwa uwanja wa nyumbani CCM Kirumba wakiwakarobisha Singida BS. Saa 1:00 usiku, JKT Tanzania watakuwa dimba la nyumbani Meja Jenerali Isamuhyo wakiwaalika Simba SC. Jumapili Novemba 09,mabingwa watetezi Yanga SC watakuwa uwanja wa KMC Complex wakicheza na KMC FC. Saa 1:00 usiku, Namungo FC watakuwa nyumbani uwanja wa Majaliwa wakiwaalika matajiri wa jiji AzamFC. Kwa kifurushi cha shilingi 28,000 unatazama michezo hii mbashara kupitia AzamSports1HD. #NBCPL #Azamtvsports
445
"Inatosha sasa kataa wahuni, hatununui uoga. Suluhu ni kumtoa Samia" VivaTz🇹🇿 #MO29 #Samiamustgo
1
4
475
"If I die don't bury me here, send my body to my parents" _ To all Comrades who lost their lives for the good of our country 🇹🇿 #MO29 #Samiamustgo
2
4
490
Hii inagusa sana, katika uchungu wa kushindwa kutimiza ndoto za ujana wake, na mpaka kwenye uzee wake, katika kukosa matumaini kabisa kwa kundamizwa na mfumo kwa watoto na wajukuu zake, anaamini bado ipo nafasi ya kujiuliza na kupeleka upya ujumbe wa faraja kwa kizazi kijacho.
1
148
Ndiyo ndoto nyingi zimefeli, nyingi zimebaki kama nchi ya ahadi isiyofikika zaidi tu kwenye usingizi wa mawazo. Serikali imeshindwa, CCM imeshindwa, waliotangulia wote wameshindwa lakini ni wapi yalipo matumaini ya watu wa taifa hili? Tanzania. Labda ni Lissu, au Heche au Mnyika
1
44
Kwa pamoja tuelewe NO REFORMS NO ELECTION NI NINI HUU UHUNI HAUKUBALIKI, TUPIGANE VYAMA VIPBANE KWA HAKI, USAWA NA UWAZI. REPOST PLZ UMMA UELEWE MAPBANO YANAHUSU NINI
106
Wachache waliobaki Chamani wasema kweli. Haya mambo tungeyafikiria mapema na kuyafanyia kazi, tusingefika hapa tulipofika kwa sasa. Inaogopesha sana wana CCM wenzangu. Wakina Gwajima na Mpina ndio majasiri wanaoweza kuongea haya mambo hadharani.
79
Anaeufahamu huu mkono wa nani amtaje. Simu ilikua mpya hiyo wanangu🥹🥹🥹
60
Ukisex na mtu kutoka nje ya nchi kata bro mpaka nywele. Unaiwakilisha nchi🫵
53
Wanangu mnisaidie nisidhalilike nimeangusha meza ya muuza chips nilkua nimetoka kutoka Hela kwa wakala kumbe Sina Salio na ndo nilitegemea Nike hapa kukopa chips mana ghetto Sina hata mia.
57