Pinned Tweet
This was the life changing signing. He made us believe we can compete
@gabrieljesus9 ❤️
Replying to @rayasel94
Huwezi mlinganisha Licha na Saliba, Licha is special, passing, blocking, versatile, he has bigger profile kulinganisha na Saliba...
Nikupe hiyo top 10?
Swali la Muhimu ni kwanini Mungu alimuumba Adam akiwa na Mboo wakati plan ya kumpa msaidizi ilikuja baadae?
Bonny >>> Hansi Flick
Basi tu sometimes makocha wana EGO, lakini hakukuwa na ulazima jana Barca kuwapress Madrid kuanzia juu (highline), kosa pia walilifanya dhidi ya PSG.
Kwa timu kama Madrid ambayo ina passers kama Tchou, Arda Guler & jude, then ina runners kama Diomande & Mbappe. Kufanya highline unatakiwa kuwa sure 100% kwamba watautupa ule mpira.
Ila huyu Mbappe yupo daraja la juu sana asee, akifyatuka kumpata ni ngumu sana 😂, ile position awareness yake kunusa maenek ya hatari ananikumbusha Edinsoni Cavani, Exceptional footballer















