rogue (@rogtony2) profile picture
Joined March 2022
Photo by rogue (@rogtony2)Photo by rogue (@rogtony2)Photo by rogue (@rogtony2)
Muda utafika Mwanangu kila unachofanya leo hutoweza tena kukifanya, hutoweza kuonesha ufundi wako kwenye tendo mara mpande juu ya net mara upige hatrick, itakuwa moja tupumzike ndio nyakati Wanangu zitafika ambapo nguvu tena. Dada yangu mwenye kiuno kilichojikata vizuri kama mwinuko wa bonde la Mkwajuni Kinondoni ule wasaa ukifika chuchu zimelala kama ndala, ngozi ya mvuto imejikunja, midomo mizuri ya lips imekuwa mikubwa mate huwezi kutema vizuri, uzee umewadia. Familia nikwambie kitu? Muda utafika Mwanangu watoto wazuri wote watakuita Babu, majina yatabadilika sana kutoka Junior mpaka Senior, kutoka HB mpaka Kikongwe, kutoka Bint Mrembo mpaka Ajuza, nyakati zitafika Wanangu. Zile nyakati za location Kidimbwi, mara bata Tips mara viwanja Cask zitakatika! Simu zimejaa texts za magroup ya Kanisa na misikitini yamkini unajiandaa na maisha baada ya dunia, unapiga goti kwa Mwenyezi Mungu ili ukawe na pumziko jema! Muda umekimbia sana na toba ya uzeeni ni ngumu kupokelewa. Wenye kuvimba serikalini leo hii watakuwa Wastaafu, wenye kuvimba kwenye Makampuni leo hii baadhi watakuwa wastaafu, wenye kujiona wababe kisa madaraka watakuwa uraiani, kila zama na kitabu chake, watakuwepo wengine kwenye zama zao wakifanya mambo yao, ndio dunia. Dada na Kaka yangu, utarejea kutazama picha zako za ujana huko Instagram, Facebook na Twitter! Wallahy utagundua haikuwa dunia bali mapito, milegezo suruali chini ya makalio, sketi juu ya mapaja na maziwa nje hayatokuwa sehemu ya maisha tena, dunia hadaa ulimwengu shujaa. Hazitokuwa posts za location Dubai kwenye WhatsApp status bali posts za taarifa za vifo za Marafiki zako wa karibu, taarifa za kuwa nyakati zimesogea na hukujiandaa na kesho huko tuendako, tule sana ujana ila tujiandae na kesho, haijawahi kuwa dunia bali mapito tu. Tales from Bonde la Mto Kilombero. VISIT MOROGORO🇹🇿
52
54
2
491
25,775
01:10 nani Yuko macho nimpe namba yangu anipige tuongee
221
32
4
254
Wazungu wanacho angalia ni talent siyo umri msishangae kinda wa miaka 15 wa Arsenal kuchezeshwa epl.Kwetu hapa bongo hicho hakiwezekan katka ligi kuu ya NBC.
Arsenal yarejea kileleni ikimchezesha mtoto wa miaka 15, na kuvunja rekodi ya EPL bbc.in/3S65M1K
Linapotokea tukio kubwa iwe ajali au ujambaz viongoz waliopewa mamlaka ndio uamka usingzn na kuweka mikakat ya kupambana na hali hiyo je kabla ya hayo matukio mnakuaga wap.
#HABARI Jeshi la Polisi nchini limeongezewa nguvu na makampuni binafsi ya ulinzi ili kuzuia uhalifu wa panya road ndani ya Jiji la Dar es Salaam, ambapo makampuni hayo yameahidi kutoa magari 8, pikipiki 3, askari na mafuta yenye thamani ya Tsh 350,000, ili kusaidia katika doria.
1
#HABARI Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, limemkamata Mukhsin Mgaza mwenye umri wa miaka 24 ambaye ni dereva wa Lori lililosababisha ajali baada ya gari lake kufeli breki na kugonga mengine manne na kusababisha vifo vya watu 19 eneo la Inyala Pipeline mkoani Mbeya #EastAfricaTV
17
8
2
237
Maji yana faida kubwa yakitengenezwa kuwa pambo la nyumba, mtaalam anaeleza hapa namna inavyosaidia kuondoa msongo wa mawazo. Usikose kutazama #Ujenzi Jumatano hii kuanazia saa 3:00 Usiku, #EastAfricaTv kufahamu zaidi.
1
10
#HABARI Waziri wa Maliasili na Utalii nchini Balozi Dkt Pindi Chana amewapongeza waratibu wote na wananchi wa Ngorogoro walioamua kuhamia Kijiji Cha Msomera kilichopo Wilaya ya Handeni Tanga, kwa uratibu mzuri wa watu na mifugo yao hali iliyopelekea wafike salama.
6
5
2
106
Eeeh!.
Ndio maana nikasema Serikali isiingiliwe masuala ya dini. Unapokua na Mufti wa mchongo hata Eid ya Mchongo lazima itakuwepo. Inawezekanaje nchi jirani wanaswali Eid jumatatu asubuhi halafu nyie na Mufti wenu eti Jumanne. Wanafanya kulazimisha kutugawa kwa maslahi ya nani??
9
5
133
Tulishaacha kuagiza nguzo nje ya nchi,kwaajili ya kuwapa Ajira wakulima wa miti yetu Tanzania, Kama Kuna changamoto Basi tuanze nguzo za zege ambazo Serikali ilianzaga kuangalia uwezekano huo wakaona walinde maslahi ya wakulima wa miti!!
1
2
4
Ever wondered how well our music tastes match? Blend with us on @Spotify to find out! Click on the link below to create a unique Blend playlist between BTS and ARMY 💜 👉spotify.link/Qv0VGA2Poob *Spotify log-in required. #BTS #방탄소년단
6,503
72,205
9,188
349,253
Happy
The Denmark squad were so happy after Christian Eriksen's goal 🥺
Wait
You’re unable to view this Post because this account owner limits who can view their Posts. Learn more
1
He knows
Louis van Gaal warns Erik ten Hag about joining Manchester United 💀
Ofcourse
Chelsea are 2nd in the list of most European trophies won in the last 10 years.
Age
Lionel Messi Is Eyeing FIFA World Cup 2022 🇦🇷❤
Psg
Guess the country⁉️👀
Rip
Taarifa za hivi punde zilizotufikia zinasema,Prof.Ngowi wa Chuo cha Mzumbe amepata ajali eneo la Mlandizi na kufariki dunia.Gari alilokuwemo limeangukiwa na Kontena. Mwenyezi Mungu ampe pumziko la milele! Amen🙏 #KitengeUpdates
Rip
Watu 7 wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kutokana na ajali iliyohusisha lori aina ya Scania lenye namba za usajili T172 AUP, ambalo liligongana na Bajaj yenye namba za usajili MC 426 CFQ, ajali hiyo imetokea jana majira ya 1:30 jioni katika eneo la Kidulya, Bariadi. - Simiyu
1
No Lukaku
PSG have set their sights on Lukaku if Mbappé joins Real Madrid in the summer. {Football Insider}
Hawajtambui
Mwenyezi Mungu anatuambia kwenye surat Teen Aya ya kwanza kwamba amemuumba Mwanadamu kwenye umbo lililo zuri kabisa Hii ina maana hakuna aliyekosewa. Najiuliza dada zetu wanaongeza vitu katika miili yao wanajaribu kumkosoa Allah?
1