
enroute 鉃★笍鉃★笍馃弫馃弫Like a boss......@daktari
Joined July 2023
- Tweets1.4K
- Following3.2K
- Followers3.3K
- Likes332
Pinned Tweet
Lakini pia shetani angepewa pages kadhaa hapo nyuma ya bible tuskie her side of the story馃馃
Nikikuja kwako uniambie "feel at home" ujue to kila kitu Kwa fridge ni yangu na nikikubakishia ni ju we ni beshte yangu馃
Campo niliwai pata mumaa alikuwa anawork KRA.Mameen nilikuwa naishi softlife.Unfortunately alidedi on a road accident akitoka Kenol, siku ya mazishi nilipiga nduru Hadi bwanake akashindwa kwani Maureen alikuwa na mtoto nje ya ndoa. Kijana ya 2nd yr ningetoa wapi rent ya 25k馃馃槶馃
Kuna morio wangu ashawaia earn 34k USD kwa hizi referrals za online kuenda kuwithdraw akaambiwa yeye ni Robot馃馃槀馃
Nafungua portal napata recommendation inasema "To be conferred Bachelor of Science in Civil Engineering "
Satisfied the board of examiners!馃ぉ
Itakuwa sherehe kubwa sana mamaaae馃コ馃コ馃コ馃帗#MMUST23RD GRADUATION
Nimepanda mti successfuly my only prayer is kunyeshe because kukikosa kunyesha na hio shamba sio yangu jameni 馃馃
1
11
316





