🏆 TANAPA Nyumbani kwa Tuzo!
Leo JNIA imeshuhudia mapokezi ya tuzo ya ESQR (European Award for Quality Choice Achievement 2025) kwa huduma bora kimataifa mara ya 6 mfululizo! Heshima kwa Tanzania, shukrani kwa Rais @SuluhuSamia kwa kutangaza vivutio vyetu duniani.
#Tanzaniaparks
Tanzania Refutes Foreign NGOs Claims on Ruaha Killings Incident @WBTanzania @WorldBank eturbonews.com/tanzania-refu…
Tanzania National Parks retweeted
The Tanzania National Parks Authority (Tanapa) has rejected claims by international NGOs alleging human rights violations by park rangers during a recent operation in Ruaha National Park, describing the reports as misleading and exaggerated.
READ: thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
Tanzania National Parks Authority denies human rights abuse claims in Ruaha. msn.com/en-xl/politics/gover…
Tanzania national parks authority denies human rights abuse claims in Ruaha @WBTanzania
thecitizen.co.tz/tanzania/ne…
TANAPA refutes foreign NGOs’ misleading claims on Ruaha National Park saga tranquilitynews.com/tanzania…
Tanzania National Parks retweeted
Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii na Taasisi zake wakifuatilia mjadala Bungeni jijin Dodoma ambapo Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/26.
Tanzania National Parks retweeted
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana ktk picha ya pamoja na Viongozi wa Wizara ya Maliasili na Utalii mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maliasili na Utalii kwa mwaka wa fedha 2025/26 Mei 19,2025 Bungeni jijini Dodoma.
Tanzania National Parks retweeted
"Tanzania imeendelea kung’ara kwa kushinda Tuzo mbalimbali
za utalii katika nyanja za Kimataifa. Hatua hiyo imedhihirishwa
kwa mafanikio ya kishindo kwa kupata Tuzo maarufu Duniani
za World Travel Awards – WTA zinazotolewa na taasisi ya
World Luxury Media Group Limited
Tanzania National Parks retweeted
Mkutano wa Dunia wa Utalii wa vyakula ni Tanzaniaaaaaaa. Tukutane Arushaaaaaaa🙏🏻👏🏼
Happy Easter, From Us to You!
As nature awakens with new life,we join you in celebrating hope, renewal, and the beauty of this season.From the Highest Peak in Africa to the savannahs of Tanzania National Parks may your Easter be as vibrant as the wild around us. #EasterSunday
Meneja wa Mawasiliano na Habari wa Klabu ya Yanga, Shaban Ally Kamwe, Leo Aprili 12, 2025 ameshiriki zoezi la upigaji kura kwa ajili ya Tuzo za World Travel Awards (WTA), umebaki wewe tu mdau, Bonyeza link hii na pigia kura Hifadhi za Taifa Tanzania.
📌 worldtravelawards.com/vote
Tanzania National Parks retweeted
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Dunstan Kyobia ateta na Maafisa Mawasiliano wa Serikali na wanachama wa @TAGCOTANZANIA walipotembelea Hifadhi ya Taifa ya Mlima Udzungwa April 12, 2025. Mhe. Dunstan aeleza fursa za uwekezaji zinazopatikana katika Wilaya ya Kilombero Mkoa wa Morogoro. – at Tanzania
Tanzania National Parks retweeted
Rais @SuluhuSamia akutana na kufanya mazungumzo na bosi wa @ManUtd Sir Jim Ratcliffe Dar es Salaam leo kuhusu utalii, uhifadhi na michezo
Tanzania National Parks retweeted
Waheshimiwa Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wanaowakilisha nchini wakiendelea na ziara ya 'Diplomatic Safari and Tour' katika hifadhi ya #Serengeti ambapo wametembelea vivutio vya kipekee vinavyoifanya hifadhi hiyo kuendelea kushinda Tuzo ya Hifadhi Bora Afrika. Ziara hiyo inayoratibiwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na wadau wa utalii chini ya @MNRT_Tanzania, na @NMBTanzania imeanza tarehe 11 Aprili 2025 na itahitimishwa tarehe 15 Aprili 2025. Baada ya kutembelea Serengeti wanadiplomasia hao wanaendelea na ziara katika Hifadhi ya Ngorongoro na kumalizia katika fukwe za Zanzibar.
Tanzania National Parks retweeted
Picha za matukio mbalimbali za mkutano wa Chama cha maafisa Mawasiliano wa Serikali @TAGCOTANZANIA ambapo mada kuhusu Usimamizi wa Mawasiliano wakati wa Mgogoro katika kulinda taswira ya Serikali inawasilishwa katika siku ya tatu ya Kikao kazi cha #TAGCO kinachoendelea katika Hoteli ya Morena Mkoani Morogoro.












































