Rafael retweeted
“Serikali watoke hadharani waombe radhi, walipe fidia kwa waathirika wa matukio ya Oktoba 29…”-; Mhe. @HecheJohn
Rafael retweeted
#Tanzania: UN experts concerned that 1-year after post-election violence, victims still await publication of findings from Commission of Inquiry. “We condemn patterns of repression against civil society organisations, journalists & #humanrights defenders.”
ohchr.org/en/press-releases/…
Rafael retweeted
Huwaga nashangaa sana mtu anapojiona yupo salama TANZANIA.
Kila siku nasemaga "KILA MTU ATAFIKIWA TUU NA UTEKAJI NI SUALA LA MUDA TUU".
Sasa tutegemee MADEREVA kugoma tena nchi nzima baada ya siku 3 kwasababu ya UTEKAJI unaoendelea nchini.
Na hawa wakigoma nadhani kila mtu anajua mziki wake. Hii ndio njia mliyochagua kuendesha nchi sio?
Tutafika tuu..!
ASANTENI MADEREVA UJUMBE UMEFIKA.
REPOST 200
Rafael retweeted
🧵 Wewe unaesoma, ni mwaka toka wananchi wenzio walipouliwa, familia zao zilipobaki na simanzi ya kutowaona wapenzi wao tena katika maisha hapa duniani, na wengine kubaki na majeraha na makovu ya moja kwa moja. Wao walitangulia hivyo daima tutawakumbuka na kuwaenzi, 👇🏾
Rafael retweeted
PUBLIC STATEMENT: ONE YEAR ON FROM THE OCTOBER 29, 2025 EVENTS – DEMANDING THE TRUTH, ACCOUNTABILITY & JUSTICE
Today, 29th October 2026, we remember those who lost their lives during and after the 2025 General Election.
To read the full statement: tls.or.tz/uploads/1793263574…
Rafael retweeted
October 29, 2025 left a permanent mark. Familia zilipoteza nguvu kazi na watoto wakabaki bila wazazi. May justice prevail! 🕊️🖤
Rafael retweeted
Kuna furaha ambazo huwezi kuzielewa mpaka Uwe na masela wa kweli..
Ndiyo maana goli la Doumbia limewagusa masela wengi kuliko unavyoweza kufikiria.
Kuna mwanaume anayeangalia mpira huku akijua kesho anatakiwa kutafuta hela ya kodi.
Kuna mwingine anawaza ada ya mdogo wake, kuna anayepambana ili mama yake apumzike na maisha ya shida.
Kwa watu hawa, mafanikio ya msela mwingine yana maana kubwa.
Unapomwona mwanaume akishangilia goli la Doumbia kwa nguvu zote, usihukumu kwa kile unachokiona.
Huenda huyo ni mtu ambaye maisha yamemfundisha kwamba furaha ya mwenzake inaweza kumpa nguvu ya kuendelea na safari yake.
Maisha ya wanaume yana vita ambazo mara nyingi hazisimuliwi.
Tunatoka kutafuta, tunarudi na kile tulichopata, na tukikosa tunajificha na maumivu yetu ili watu wa nyumbani wasikose matumaini.
Leo Doumbia amefunga, lakini huenda kuna mwanaume mahali fulani amepata sababu nyingine ya kuamini kwamba mapambano yake bado yana maana.
Mwanaume mwenzangu, usiombe mwenzako azame.
Dunia tayari ina ugumu wa kutosha tusigeuzane maadui wakati kila mmoja anapambana na maisha yake.
Kama umewahi kubeba majukumu ya nyumbani ukiwa mbali na watu wako, basi unaelewa kwa nini hili goli si suala la mpira pekee.
Masela wa hustle, leo ni zamu yenu kuongea.
Doumbia alipofunga, ni kitu gani kilipita kichwani mwako mwanangu?
Rafael retweeted
#DearNyerere kwa hizi speech zako tulizoziona GENZ ulizokuwa unatetea haki mtazamo wetu sisi GenZ hata wewe ungekuwa hai leo wangekuteka. Hali ni mbayaaaa.




























