Masharikan 馃寧 (@Adambrv) header
Masharikan 馃寧 (@Adambrv) profile picture

Masharikan/Istafrikan | Hoja dume tu | Tracking East African issues | DM for credit or media removal

East Africa
Joined June 2012
Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)Photo by Masharikan 馃寧 (@Adambrv)
Joto la Dar es Salaam DIY swimming pool Bwawa rahisi la kuogelea kwenye kona nyumbani. Unajenga mwenyewe (kama huna utaalam tafuta fundi) Jaribu!
16
118
3
473
Afrika vs FIFA break Ukishakua na timu ya taifa vibudu kama Tanzania, FIFA Break haina faida yoyote zaidi ya kero na machungu tu. Banter zote za kwenu Ndio maana kama Taifa - Tanzania na bara zima la Afrika tunamiss sana Ligi Kuu muda huu Bila Simba kucheza Taifa linaumwa!
2
134
Gari za Umeme Ethiopia Unajua yule rafiki siku 1 anafanya jambo kubwa mpaka unamwuliza "Umejiandaa kweli?" Anajibu "Tutajua mbele ya safari!" Ndio Ethiopia! Mwaka 2024 waliamka wakapiga mafuruku gari za mafuta. Sasa ni za umeme tu! Dunia inashangaa wakati wao wanavyosonga!
1
3
226
Dangote Cement in Africa
Dangote Cement Uzalishaji 2019 (Mta) 1 Obajana Nigeria - 29.3 2 Mtwata Tanzania - 3.0 3 South Africa - 2.8 4 Ethiopia - 2.5 Tanzania mzalishaji mkubwa zaidi nje ya Nigeria Source: Dangote Cement audited results 2019 Photos L - Obajana, R - Mtwara, Tz
1
106
Cement in EA
EA Cement East Africa doesn't import cement but rather exports to SADC and beyond The largest producers (2025) in MT are: 1 Ethiopia 馃嚜馃嚬 20 mil 2 Tanzania 馃嚬馃嚳 11 mil 3 Kenya 馃嚢馃嚜 10 mil Growth in the cement industry here has been driven by largescale infrastructure projects in EA
1
154
This GDP game in East Africa
Wajua? Wapinzani wa Jadi Tanzania imeshakuwa na Uchumi mkubwa kuliko Kenya mara kadhaa miaka ya: 1980 - Nyerere 1981 - Nyerere 1999 - Mkapa 2004 - Mkapa Nina uhakika Tanzania imeshatambua makosa yake. Sasa ni kazi tu kuwakimbiza Ethiopia na Kenya pale juu
1
144
Kuna janga la uhaba wa walimu na kuna walimu kibao wako mtaani bila ajira! Ukisikia maji yameloa ndio hii sasa Math is not mathing in my country!
2
144
Huang fights a hostile takeover bid at NVIDIA
JUST IN: Jensen Huang discusses returning as Nvidia $NVDA CEO with allies.
3
333
Look at this hopeless useless irrelevant royal liability! Tried everything and failed. Now jumps on everything agenda to look relevant and acceptable
Guess who just turned up in Ukraine to tell a room full of amputees, including Nazi adoring Azov fighters, they would- "Win the War" Yes, "Prince" Harry Saxe-Coburg-Gotha just cant help himself. Its in the blood.
82
World cancer Look at this retard. Trying to spin and convince the world otherwise Someone ask him how many military bases do they have around the world? And for what?
Every problem in the Middle East & beyond has one common denominator: The United States of America, Israel and their expansionist mentality. Foreigners from 10,000km away blaming the native people of the region for defending themselves ..
2
93
As a country, all nations have a choice to make and stick by it For Russia its simple. THERE'S IS NO WORLD WITHOUT RUSSIA! Full stop!
3
196
Mgodi mpya wa kupigwa madereva barabarani: 1 Tinted 2 Fire tingisha/extinguisher 3 Pembe tatu Barabara ya Goba Njia Nne kuelekea Tegeta wazee wa kazi wanawakusanya kama kumbikumbi! Hakikisha upo kamili barabarani!
3
1
14
1,847
Pambana na joto kwako!
Swimming pool Bwawa la kuogelea Kwa wale ambao huwezi kutenganisha kuogelea na familia zao... Tumia nafasi ndogo iliyopo #MgodiWaAdam
1
150
Huruma sio malezi
Malezi Usasa wa wazazi ni ushamba unaoharibu afya/maisha ya watoto sana. Vitoto vinavaa miwani kwa sababu ya kucheza na simu za watu wazima muda wote na kutokula mbogamboga, muda wote chipsi mayai na soda. Vitoto vinakua na vitambi hata msingi havijamaliza TUNAWAHARIBIA!
1
138
Huruma sio malezi
Huruma sio malezi Hii ni Russia. Ndio maana hakuna mtu anafanya bullying kwa Mrusi popote pale duniani Mfunze mwanao (especially wa kiume) michezo na hasa ya mapigano ili aweze kujitetea na kujilinda kwa sababu the world is fucked up really bad
1
92
Huruma sio malezi
Watoto Kujifunza = mazoezi + furaha + ubunifu + malezi Mwl @JoyceMwalimu alikua anatuonyesha ubunifu kwenye malezi na kujifunza watoto mpaka tunatamani tupeleke vitoto vyetu akae navyo siku nzima Hiyo ni lazima China 馃嚚馃嚦. Tanzania 馃嚬馃嚳 tunaweza jifunza
1
109
The Real Anger Translator From Moscow
2
291
Tanzania ya Mwalimu Nyerere
1
110
Tanzania Marufuku kuleta vibabu vya kigeni kuja kula mihela ya kustaafu Taifa Stars! Kama lazima sana kugawa hela sasa ni muda wa watu wetu kuzitafuna. Tufanikiwe au laa. Zamu yao nao wale Kuongozwa mpira toka wizarani ni upumbavu mkubwa kiutendaji. Mpira ujiendeshe wenyewe!
3
321
Kocha Hemedi Morocco TUNAOMBA UTUSAMEHE TICHA! Yalichofanya haya makurupukaji yetu na yale mawanasiasa mabwege wa mpirani ni kukukosea sana heshima. Tena uliyojenga Stars kwa jasho na damu Tafadhali Kocha tusamehe na rudi uokoe jahazi. Taifa Stars imeshazama kina cha Nungwi!
4
13
1,467
WE APOLOGISE SAMATTA! BILA WEWE HAYA MAJITU YANAKUA KAMA HEADLESS CHICKENS! Captain Samatta tunaomba msamaha. Tafadhali sana njoo uokoe jahazi
1
2
7
872