AdvocateMaria (@AdvocateMaria92) profile picture

A Tanzanian lawyer

Joined September 2026
Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)Photo by AdvocateMaria (@AdvocateMaria92)
TANZANIA IS NOT SAFE ANYMORE,the human rights activists are still being abducted and tortured,we ask for international intervention to FREE TANZANIA 🇹🇿 #FreeTwahaMwaipaya #FreeTundulisu
1
9
12
556
Watu tupo bize na Twaha na jumatatu tunatakiwa kujua muafaka wa Court order,then wewe unataka kuita press just one day before muafaka wa Twaha,this shows how heartless you are🙌,na hiyo Press yako ukiongea utumbo wowote kuhusu Heche ujue kwamba GenZ hatutakubali @godbless_lema
6
10
473
Leo natamani hata kufanya video 10 kuwashukuru Watanzania jinsi wamejua kuiheshimisha movement…. Yani ukiondoa zile bodaboda za kulipia na zile gari za kina Bashite yawezekana siku ya leo @HecheJohn alikuwa na nyomi kubwa zaidi kule Moshi Mjini kuliko event iliyofadhiliwa na serikali haram, mabilioni ya pesa kumwagwa na ma influencer haram wa instagram kubeba shughuli. Pumbav walidhani kujaziana mi comment ya maboti wa CCM kwenye social media ni influence ya ukweli…… Watu wanataka haki bwana….. Leo naingia kulala moyo mweupeeeeee….. Nikiamka tunaendelea na mapambano but for now lets celebrate serikali haram na ma influencer haram kushindwa kupunguza nguvu ya wananchi kudai haki.
43
199
1
1,377
99,804
AdvocateMaria retweeted
We Tanzanian lawyers demands Justice and accountability for Tanzania 🇹🇿 ,we stand against abduction and enforced disappearances of our fellow young citizens of Tanzania 🇹🇿 @commonwealthsec @UNGeneva @UN @SenTedCruz @shahee
2
2
92
Tomorrow,me and my fellow lawyers will be live on my TikTok @AdvocateMaria /TUPO LIVE KESHO JUMAPILI NA KILA WEEKEND KUONGELEA SHERIA ZA TANZANIA,MAPUNGUFU YAKE NA MAMBO YA NCHI YETU,USKOSE! @UHURU12345 @SiasaMaisha2030 @CuteMaria26 @Tanzaiite
1
206
AdvocateMaria retweeted
The next lesson this weekend @SiasaMaisha2030 @CuteMaria26
2
105
We Tanzanian lawyers demands Justice and accountability for Tanzania 🇹🇿 ,we stand against abduction and enforced disappearances of our fellow young citizens of Tanzania 🇹🇿 @commonwealthsec @UNGeneva @UN @SenTedCruz @shahee
2
2
92
Please join me and my fellow lawyer on TikTok live where we will be teaching about “WHY WE NEED NEW CONSTITUTION IN TANZANIA 🇹🇿 my TikTok is @Advocate_Maria
2
2
2
82