Pinned Tweet
Fundi anarudi kwenye UWAKILI, nakumbuka kesi ya yule kijana alosemaga JPM ni mpumbavu, LISSU akajitolea kumtetea kijana mahakamani, LISSU akawaambia mteja wangu hakumaanisha JPM ni JOHN POMBE MAGUFULI, kijana alimanisha JPM ni JUMA PUMBA MAHARAGE, kesi ikaisha ๐
He is back โ
Sekenke One ๐ป retweeted
Zile parking za magari pale KKKT kama huna roho wa bwana unaweza jitukana kimya kimya๐๐๐๐พ
Unaweza hisi wadau wanafanya show off kumbe wala ndio uhalisia wa maisha yao๐๐๐พ
Sekenke One ๐ป retweeted
Ninakuita, mshirika wangu, uko wapi Twaha Mwaipaya?
Ninajiuliza, Samia Suluhu anataka ateke, kupoteza na kuuwa watu wangapi, ili iweje?
#FreeTwahaMwaipaya Now!
Sekenke One ๐ป retweeted
Pumbavu nyie chawa wa ccm. Mmeniweka kwenye list ya wanaotakiwa kutekwa mnadhani nitaogopa niache kutetea haki?
Kwa sasa nipo nabeba box hapa Carmel, Indiana kwenye county ya Hamilton. Njooni mniteke mbwa nyie
๐SITISHIKI NA SITANYAMAZA KAMWE MPAKA UONEVU UISHE TANZANIA ๐น๐ฟ ๐
Hizi njumu angeziona yule sheikh wa Millenials wa Kiwalani, ungesikia hii nembo ni ya Devo Woshipa ๐ ๐คฃ ๐
Sekenke One ๐ป retweeted
Tuache kulia na kuogopa - Mungu wetu yu hai!
Twaha yupo ndani ya mipaka ya Kenya!
Wananchi wa mpakani hadi zile njia panya sogeeni! Wao pia wamejificha maana kwa sasa wanasakwa na mamlaka! Hii nawaambia ๐ฏ tupambane - no soldier left behind!
Another confirmation from ๐น๐ฟ intelligence - Twaha is still within Kenya
Keep the borders sealed! We need everyone to be on the lookout! We need MASSIVE noise and search!
We will also share possible
locations of their hideout!
#FreeTwahaMwaipaya
Sekenke One ๐ป retweeted
TWAHA MWAIPAYA AMETEKWA NAIROBI MUDA MFUPI KUTOKA SASA.
TUNAOMBA MSAADA WA KUPAZA SAUTI.
#FreeTwahaMwaiapaya
REPOST 500
Sekenke One ๐ป retweeted
We have to fight like hell! No time to cry or to be afraid!
Huu si muda wa kulia wala kuogopa
Fight ๐๐ฝ๐ฅ
Twaha anasema kila siku: Msiogope Tumeshinda โ๐ฝ
Sekenke One ๐ป retweeted
Twaha Mwaipaya, a Tanzanian national, was reportedly abducted at around 2pm today in Kamulu, Machakos County, by individuals travelling in three vehicles, including a Toyota Land Cruiser hardtop.
He was travelling by taxi to visit friends. Anyone with information on his whereabouts is urged to reach out immediately. Authorities must urgently establish his whereabouts and ensure his safety.
Please share widely. #FreeTwahaMwaipaya
Sekenke One ๐ป retweeted
HABARI MBAYA.
@Twaha_Mwaipaya , Mwanaharakati kutoka Tanzania, ametekwa muda mfupi uliopita maeneo ya Kamulu, Kangundo road, Nairobi Kenya.
Wamemchukua na Gari aina ya Toyota HardTop nyeupe, na watu wenye silaha waliokuwa wamevaa nguo za kiraia muda mchache uliopita.
Sekenke One ๐ป retweeted
BRO TO BRO
Kamwe usiwahi kutumia ulimi wako sehemu ambazo madaktari hutumia glovu kugusa
Sekenke One ๐ป retweeted
My friend Twaha Mwaipayaโs abduction by armed men in Nairobi is appalling.
We understand that these are coordinated efforts by killer Samia Suluhu to abduct and disappear all critical voices.
We demand Mwaipayaโs immediate release.
#FreeTwahaMwaipaya
Sekenke One ๐ป retweeted
#FreeTwahaMwaipaya
Please share widely and tag anyone and everyone that matters































