Kuna habari ya msiba diwani wa CCM Same imepostiwa na East Africa TV pale facebook, wananchi wamedhihaki kifo kile mpaka nimejiskia vibaya馃槩
Hapa ndipo nchi yetu ilipofika
1
69
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Today marks 23 days since Twaha Mwaipaya was abducted.
Where is Twaha Mwaipaya?
#FreeTwahaMwaipaya #EndAbductionsEA #PASNet
Samahani wasomi mimi mgeni huu mji馃檹
Kwani hivyo vyama vinavyoridhiana vinafanyana nini mpaka viridhiane?
13
202
Nimeona mtu mmoja katuma clip askari barabarani akichukua rushwa, aisee watu wamemshambulia sana aliepost clip kwamba alichofanya sio fair maana hicho alichofanya askari ni msaada kwa dereva.
Wakuu rushwa sio adui tena wa maendeleo?
11
421
Awesi Ally Mkubwa retweeted
Je Chadema ajenda yao kwa sasa ili waingie kwenye maridhiano ni Lissu kua huru?




