Kuna habari ya msiba diwani wa CCM Same imepostiwa na East Africa TV pale facebook, wananchi wamedhihaki kifo kile mpaka nimejiskia vibaya馃槩
Hapa ndipo nchi yetu ilipofika
2
183
Fanya hivi kwa interest ya upinzani labda ujinasibishe na Uchadema kama mwezi utaisha bado unatamba mtaani.
IGP wa Kenya akiwa kizimbani baada ya kuitikia wito wa mahakama wa kwenda kutoa maelezo ni wapi alipo Twaha Mwaipaya kama wanamshikilia au vinginevyo.
Je, hapa kwetu hili linawezekana kumpandisha kizimbani mkuu wa jeshi la polisi?
3
113
Tangia Twaha ametekwa nchini Kenya hizi trend za kumzungumzia hazijawahi kushuka hata kwa masaa 6 tu. Hii trend ina masaa 17 na ina post 2800.
Bring Back Twaha Mwaipaya
#FreeTwahaMwaipaya
Ni mwaka umetimia tangu nchi yetu ipitie kipindi kigumu na kilichogharimu maisha ya watanzania wenzetu馃槬馃槹
Oct 29.
#Oct29












