BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011) header
BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011) profile picture
Joined April 2012
Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)Photo by BL ๐Ÿ‘ทโ€โ™‚๏ธ (@BGEL2011)
Nlifanyaga na moja, nliapa sitarudia makosa
God protect me from unstructured companies ๐Ÿ˜ญ๐Ÿคฒ๐Ÿพ
2
130
Hii barabara ilibidi iwe njia 4 kwenda -4 , kurudi nafasi inatosha kabisa.
Njia ya Gmboto foleni imeeudi upyaaa. Niliwahi kusema mara nyingi ndugu zetu @tanroadshq hizi barabara zinajengwa bila vituo vya daladala vinasababisha foleni sana. Basi wahamishie daladala zoote zipite kwenye njia za mwendokasi itasaidia sana
88
Nahodha aliyegongesha meli leo Mwanza nahisi itakuwa hajalipwa kama yule Operator wa kwa Mchina.๐Ÿ˜‚๐Ÿฅฒ. Alafu raia zilizoko pale juu ya deka ya meli wala hata hawana wasiwasi๐Ÿ˜‚, Nahisi inabidi watu waangalie Movie ya TITANIC wajifunze meli ilivyozama kama utani.
1
3
160
Natafuta wa kumuuzia hili boksi lao kwa bei rahisi. Atakaye litaka anicheki
Nadhanii Airtel ndo Router ya kijinga na kipumbavuu kuwai kutokea katika Uso Wa Dunia
1
3
111
Sinywagi hizo juice tokea Day 1
Hizi juice za miwa tunakunywa basi tu ila hygiene kwenye utengenezaji ni sifuri
2
6
162
Hatukatai unauza Viwanja ,Even well known figures wanafanya real estates. Ila ndio viwanja vya 20ร—20?? Bro we hadhi yako ni kufanya real estates ya Billions or even hundred millions..
FROM BBC TO DALALI WA VIWANJA. USIFUATE MKUMBO WA WACHONGA NGENGA. DM KWA MAELEZO ZAIDI. BUY A PLOT, BUILD YOUR DREAM HOUSE
9
2
1
42
8,318
Hivi Mapato ya Halmashauri sijui Manispaa yanaendaga wapi? Zile tozo za sokoni,parking mara sijui taka. Ilibidi bustani zote za barabarani ziwe maintained na halmashauri husika. Na ikikutwa bustani imefeli wawajibishwe..! Wajenge pia wastebin ๐Ÿšฎ kando ya barabara. Tunaweza
Wazee wa Location hapa ni wapi ๐Ÿ“
2
1
7
543
Airtel router zao ile wiki ya mwisho (Siku chache kabla kifurushi hakijaisha) internet inakuwa nzito kama uji wa gundi. Mixer kublink nyekundu kila saa. ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’ Niondoke huku sasa
1
19
859
Property Management inahitaji hela ya kutosha. Jengo ambalo huwezi sikia Lift imezimikia katikati au kutaka kuhatarisha usalama wa watu ni TPA One Stop Center. PSSF mawasiliano pia sijawahi sikia case zake
Jengo la Rita Tower lina elevator nne katika hizo ni mbili zinafanya kazi na ni kwa muda mrefu sana. Hali hii inasababisha watu wengi kujazana kwenye lift zilizobaki, mind you jengo hili lina floor 20+ lakini hakuna anayeonekana kujali. #KaribuTanzania ๐Ÿค
3
276
Hawa walishanichania makochi mixer yakafika yamelegea kama Chekecha la mashineni. Picha linaanza makochi yalienda wrapped na nylon , yakafika yalikokuwa yanaenda Uchi huku yamejaa vumbi. Unafkiri sasa even they do Care ??๐Ÿ˜’๐Ÿšฎ message hawajibu
Kampuni za kusafirisha mizigo ni nzuri hadi siku ikukute ndio utatubu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mimi natubu na USIRI saivi ni zamu yangu
1
6
512
Sehemu zote ambazo nimewahi fanya kazi ,sijawahi kujisaidia haja kubwa Ofisini. I usually hold my shit till home.
This quoted post is unavailable.
2
1
6
397
Kwakweli mtu na Profession yako kuaibishwa hivi ๐Ÿ’”๐Ÿ’”. Yani Sijui kama nimgerudi tena kazini
6
41
8,131
Kweli watu wa Sherehe mnakaba ๐Ÿ˜‚! Inakuaje mtu unawekwa group la mchango wa Harusi ya Mwakani ,mara February sijui March. Mmejuaje mtu atakuwa hai huo muda, si msubiri hata mwaka uanze kwanza๐Ÿ˜’
3
14
633
Pitieni Comments
Kama utani Selcom Pesa jana na leo wamechuku 50,000 wanilipia subscription ya vitu sivielewi na nimedelete mastercard yao ๐Ÿšฎ
148
Unakuta mtu kaona mwenzi huko, kampenda ila akienda kusema tuu nyumbani kwao kuwa niliyemuona huko ni "Mmachame". anapigwa ban.โ˜ ๏ธ ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐ŸŒด Najua wenye hekima na tabia njema kule hawakosekani ila sasa ndio ishasemekana vile ndivyo walivyo
63
Kwa mimi ambaye tokea nazijua smartphone mpaka leo natumia Android. Nafikiria niwe na iPhone kama simu ya ziada kwa ajili ya Picha na posts za bidhaa. Naomba nieleweshwe Active na Non- active ndio kitu gani. ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ๐Ÿšถโ€โ™‚๏ธ
From my experience with iPhones, I honestly recommend buying Non-Active. Anything else isn't worth it sellers just use the term 'Full Boxed' to impress customers. If you're on a budget, just buy a used iPhone that only has the Battery Message.
2
3
1,915
Hii ya Brother Lucas Kufariki imeniuma๐Ÿ’”.. Farewell Brother
Submitted my Dissertation, Graduated from University of Greenwich, UK. Lucas Massawe ( Bpharm , Msc Global Health).
2
18
2,398
Being Honest nachotaka kikamilike Haraka ni SGR ya Hadi Mwanza- Tabora- Kigoma. Morogoro Road kuwa Njia 6 hadi 8 Mandela Road kuwa njia 6
1
2
11
364
Hivi sikuhizi @spana_Konki hapigi spana tena, au ni mimi timeline yangu hazipiti. Nlitaka nimtagg kwenye vita
115
Sijui kama Bolt sikuhizi wanakagua vyombo vyao, ni mara ya pili hii nime request Pikipiki inakuja haina Side mirrors dereva hana helmet ya abiria. Ya leo ndio kiboko; Side mirrors hamna na wala Speedometer /dashboard haiwaki. Helmet hata usiulize
2
15
867