Sai utapata Kuna ninja ndio alikuwa ameinvest 100Gs kwa proxy, internet, laptop mpya na hadi mafullz lakini sasa juu mambo imechemka inabidi aingie mjengo 😂😂😂
Very soon Kenya tutakuwa banned from very many platforms, PayPal walishatuban sasa naona hizi decentralized platforms zitatupiga ban as long well 😂
B☆ retweeted
Backstreet tumejaa and it's not even 8 AM. It's Friday, yes, but again, hatuendi in the right direction. Uzuri tuko na stadium.
Lakini mbona sijaona mulot bois kwa hio squad imeekwa on the radar. Huko kumejaa tu Kikuyu blunt dudes 😂😂
Mwenye hakuwa na savings naye atasota before another hole ifunguke bois. Shida they flaunt sana mamae.
B☆ retweeted
Funny thing about fraud ni eti one loophole ikifungwa others open immediately. That's why Indians and Nigerians have been in the game for long. Kama unangoja hao vijana wa fafsa wasote utangoja sana😂. It's either you join them or earn honestly like the rest of us.
B☆ retweeted
sharp boys wengi hukuwa wakisii na wakale ... ukiskia majina kama otieno, maina , kioko jua tu ni watu wa kupanga deal lakini masterminds ni mkisii or mkale 😂 – at Mtongwe, Kenya


























