Exquisite_255 retweeted
Kama kipindi unakua nyumbani kwenu mlikua mnatumia chumbi ya mawe na hujafanikiwa mpaka sasa nipende kusema unazeeka masikini mwambie mungu akuchukue .
Exquisite_255 retweeted
Sawa ni kweli wanetu CCM mnamiliki vyombo vya dollar,
Ni kweli nyie ni watawala,
Kweli mnaweza kumpata yeyote
Ila kwa Twaha wanetu mmepuyanga,
Moja kati ya watu wenye siasa safi iliyonyooka asiyetukana Moja ni Twaha Mwaipaya
Mungu yupo wanetu,
Mungu sio wa kijani pekee.🙏
Exquisite_255 retweeted
Gwajima naye yuko na ushamba fulani hivi wa kutafuta kuonekana anafanya kazi kitengoni mbona Kila siku tunakutana na video za baikoko na vibao kata lakini hajataka kujua wanaishi wapi na wazazi wao.
Exquisite_255 retweeted
Huyu Nimemtongoza Juzi Tu leo anaanza Kutumia Mo Dewj level words like “pay for” & “buy me “🚮😂💔🖕🏼
Exquisite_255 retweeted
Good morning bosses
Poleni kwa kuanza kuingiziwa mishahara poleni na kazi za mwezi mzima
Wafanyabiashara wapya mnaotamani kuwa na biashara zenye decoration nzuri niko hapa
Call/what's app 0710 398 946
Karibuni sana
ubungo msewe – at Dar es Salaam, Tanzania
Exquisite_255 retweeted
Kuna binti mwaka 2017 aliwahi nifanyia ukatili kinoma noma -.
Alinambia sasa Gabby na ufupi wako hata kiss silitakua linaishia kiunoni 💔😭
Nataman nikutane nae ila sijui yupo wapi?. Ili aone urefu wangu mamae.
Alikua anatoka Arusha USA River 🤝
Exquisite_255 retweeted
Alhamdulilah imefika hatua na sisi watu wa Arusha tunaoga maji ya baridi tena Asubuhi na jioni .🙌🙌
Exquisite_255 retweeted
Nagundua mapema sana mtu akiniuliza maswali kwa lengo la kutaka kunidhalilisha na hapo ndo huwa naupanga uongo kuwa ukweli
Exquisite_255 retweeted
Ugomvi kidogo tu, nimecheki muda huu!
Et 'unanitafuta umesahau kitu gani kwangu'.
Hivi huyu ni chizi eeh! 😅😅.
Exquisite_255 retweeted
Shukrani sana kwa majirani wakenya! 🇰🇪
My experience since I had to flee home has been that Kenyans are special - and the reason we will be safe is because of the People of Kenya - please never change your spirit! Mnapenda sana Haki na mko tayari kumpambania mtu hata kama hamumjui!
One day I hope I can pay this forward even if I can never repay everyone for their help, hospitality! The day I write my biography it will make more sense!
For now we FIGHT ON!
Aluta continua!
Exquisite_255 retweeted
Twaha ananiuma jamaniiiiiiiiiiii……..
Watanzania, lazma tupambane kwa njia yoyote ile. This is too much……
Yani the fews times nilizo chat na huyu kaka niligundua ni bonge moja la mtu na kwamba yupo dedicated na kuona haki inapatikana Tanzania.
Twaha alipambania nchi yake na sisi tumpambanie mpaka tumpate akiwa hai…:.
Exquisite_255 retweeted
#TajiriLaKihaya
Beki kitasa kama
WILLIAM SALIBA… anakuaje namba 29😀
Wizi wa wazi kabisaaaa!
Declan Rice, kachukua EPL, kawa Runners Up UEFA… kawa mshindi wa tatu World cup… mido ya maana anashindwaje kuingia TOP 10😅
Ballon D Or ni kwa ajili ya LA LIGA aiseee💔💔
Exquisite_255 retweeted
I saw some titles nizokua natafuta somewhere, isitoshe kusema hard copy ntaziishia kuona kwa mbaaali,with this economy 🙌🙌






















