sir Elius 🇹🇿 retweeted
Nikifikisha follower 5000
Namnunulia mke @mankadolly
Vocha ya 5000
sir Elius 🇹🇿 retweeted
#TajiriLaKihaya
Hawa jamaa wa GOOD MORNING pale UCHAFUNI…
Kila ikifika mwisho wa mwezi lazima wasusie kipindi 😅
Hawa lazima wawe na malimbikizo ya mishahara Yao,sio Bure😀
sir Elius 🇹🇿 retweeted
Replying to @eliustz
Daaah sina neno ila siku nikiwa na neno ni vitendo sahihi.
sir Elius 🇹🇿 retweeted
Brother pole na majukumu ya kazi
Kwa heshima na taadhima ningependa kujua dada yako yupo tayari kuolewa kwa sasa.
Kuhusu mashamba asijali ekari kumi za urithi utakabidhiwa kaka mtu uzisimamie
sir Elius 🇹🇿 retweeted
Replying to @Uherry14
Badili mtindo wa maisha kula vizuri kalege za kutosha push up 50 kila siku huo ujinga utakutoka




















