
@ManUtd ||@SimbaSCTanzania|| veni vidi vici👑
Antarctica
Joined June 2021
- Tweets21.5K
- Following1.5K
- Followers1.6K
- Likes18.5K
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Football belongs to the fans! Thank you to all the fans around the world, the Ballon D’Or of All Time is also yours.
TheRed#21🐐🔴 retweeted
29/10/2026. One year down tangu wanetu, washkaji, mama zetu na washua wetu watangulie mbele za haki dua zetu ziko nanyi huko mliko. Endeleeni kupumzika kwa amani🙏🏿
Daima tutawakumbuka.
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Ghasia za Uchaguzi Tanzania: Mwaka mmoja baadaye, familia bado zinatafuta haki
bbc.in/4iJATA2
TheRed#21🐐🔴 retweeted
October 29, 2025 left a permanent mark. Familia zilipoteza nguvu kazi na watoto wakabaki bila wazazi. May justice prevail! 🕊️🖤
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Wapumzike kwa amani ndugu zetu wote ambao walitangulia mbele ya haki tarehe 29/10/2025.
Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani sisi bado hatujapona 💔🕊️
TheRed#21🐐🔴 retweeted
HATUTASAHAU 🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
HATUTASAHAU🕯️🕊️
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Kuna mtu kasema ile Tuzo ya saka ni ya Daktari bora wa kijiji mwingine sijui ya ukunga 🤣
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Usidhani ukifika unapotaka kufika utaridhika. Kuna siku uliomba maisha uliyonayo leo, lakini leo unayaona ya kawaida. Sali Zaidi 🙏🏽✝️
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Hapa msukuma kama Ulanda na Mwinshehe wakiona gari la Yas lazima wajifiche wanajua ndio wamefatwa wakamatwe 😂😂😂😂
TheRed#21🐐🔴 retweeted
Ee Bwana, umenichunguza na kunijua. Wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu; Umelifahamu wazo langu tokea mbali.
~Zaburi 139:1-2
Good morning familia 🫂💙





























