
|| Life is shørT, livé iT.🤥 || @ManUtd ||
Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2022
- Tweets114K
- Following2.3K
- Followers4.9K
- Likes137K
†hømz retweeted
Maskini wana kauli yao ya kijinga na kujifariji utasikia anasema "nakupokea kama unavyokuja" hicho ni kiburi heshimu wakubwa.
†hømz retweeted
Zamani nilikua na date na mwanamke kwa sababu ya upendo siku hizi na date na mwanamke kwasabubu ya kunipa umbea na kutaka kujua mambo yake kiundani.
†hømz retweeted
Kwa jinsi wanawake wanacheza na moyo wangu soon ntakua napatikana pale play store Kama game
†hømz retweeted
Kaa nami bwana, kwa kuwa, ni lazima kuwa nawe hapa ili nisikusahau. Wewe unajua ni namna gani ninakuacha kirahisi tu…..🙏
†hømz retweeted
Siku nyingine Man utd itakua uwanjani maisha ni yaleyale Tukishinda kelele nyingi sana tukifungwa vijana wa Amorim wapite kwenye quote 😂
†hømz retweeted
Fantasy league wiki nyingine tena ya kuchezea namba za viatu naona kabisa Big match mbili.!😂
†hømz retweeted
Wagai gai tunajulikana yule bwana hajawah kutia mguu DM maan kuna vumbi tu 🤣🤣 sijaona ndugu yangu Enduru akilalamika wala Ahmed wa Goba
†hømz retweeted
Oya X wakamaria hawa wajuba (Paripesa) nimewakanda 1M, nimeenda kutoa michuzi yangu wananiambia ni watumie documents zangu kwenye email yao ya security
Nimewatumia kila kitu lakini bado wanaleta maZing Zong oya msaada hapa nafanyeje wakuu
Nb: sitaki kusikia arakati za 1xBet
†hømz retweeted
Unaweza ukawa na shida kweli ukaomba msaada usisaidiwe ila ukatumia njia ya mwakimi ukapata msaada 😂😂
†hømz retweeted
🙏Usipite kimya,nisaidie #Repost tafadhal🥰
IYO LEO IYO🔥🔥
👉Bei 25,000/=
Wa.me/+255717251747
Au 0713800448
📍Kariakoo,Tunatuma Ndani na Nje ya Nchi
†hømz retweeted
Ukiona unaishi na marafiki wanaokuchoka tutachagua sasa ubadili maisha unayoishi au marafiki.




















