Akaunti rasmi ya Habari za Umoja wa Mataifa yakuletea habari za punde, habari za kiutu na uchambuzi wa kina kutoka New York na Mashinani. 🏆 Shaaban Robert 2021

United Nations, New York, USA.
Joined December 2020
Mradi wa Lens on Life ulioanzishwa mwaka 2016 nchini #DRC, unatumia sanaa ya upigaji picha kuwapa vijana ujuzi wa kisanii na fursa za kujipatia kipato. @CynthiaAkhangwa amezungumza na Jack Powers, mwanzilishi mwenza na Mkurugenzi Mtendaji wa mradi huo, alipokutana naye #UNGA81
52
Jifunze #Kiswahili Dkt Mwanahija Ali Juma, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, Zanzibar nchini Tanzania, BAKIZA @BakizaZ anafafanua maana ya neno "MAFINGU"
46
Habari za UN retweeted
Walinda amani wa @UNPeacekeeping huacha familia zao na kwenda katika maeneo yenye migogoro ili kusaidia kuwalinda wengine. Asante #Kenya kwa kuchangia zaidi ya wanajeshi na maafisa wa polisi 400 wanaohudumu duniani kote. un.org/en/peaceandsecurity/s… I #ServingForPeace
2
1
4
337
Habari za UN retweeted
Kenya provides more than 400 military and police officers to six @UNPeacekeeping missions around the world. They are #ServingForPeace at great personal risk and under harsh conditions to help others. We thank them for their service and sacrifice. un.org/en/peaceandsecurity/s…
44
44
8
167
22,266
Mashirika manne ya Umoja wa Mataifa yazindua mfumo mpya wa kimataifa wa kufuatilia athari za joto kali kwa afya ya wanawake wajawazito, watoto wachanga na watoto wengine. Tafiti zaonesha joto kali linaweza kuongeza uwezekano wa kujifungua kabla ya wakati. news.un.org/sw/story/2026/10…
2
1
3
147
Takribani watu 200,000 walikumbwa na uhalifu wa usafirishaji haramu wa binadamu kupitia njia za baharini, huku zaidi ya watu 3,400 wakifariki dunia au kuripotiwa kutoweka. @UNODC yasema wahamiaji walilipa takriban $ milioni 509 kwa wasafirishaji haramu. news.un.org/sw/story/2026/10…
1
47
Je, umewahi kujiuliza inachukua nini kusimulia hadithi za operesheni za Umoja wa Mataifa za kulinda amani? Ungana na Haidar Fahs, Msaidizi wa Uzalishaji wa maudhui ya mtandaoni ya @UNIFIL_ anatupeleka nyuma ya pazia kwa siku moja katika makao makuu ya UNIFIL huko Naqoura,Lebanon
1
47
Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu @UNOCHA na Shirika la UN la Hali ya Hewa Duniani @WMO wameshirikiana kutoa wito wa msaada wa haraka, kwa ajili ya kusaidia jamii ambazo zitaathirika na tukio la El Niño lenye nguvu zaidi kuwahi kurekodiwa. @UNReliefChief
1
3
5
2,498
#Ebola ya #Bundibugyo yathibitishwa #Nigeria ⚠️Ni mgonjwa wa kwanza ⚠️Aliwasili kutoka #Uganda ⚠️Tarehe 7/10 alionesha dalili ⚠️Alisaka matibabu hospitali binafsi 11/10 ⚠️Tarehe 20/10 @WHO yathibitishwa ana Ebola ⚠️Yuko chini ya uangalizi maalum news.un.org/sw/story/2026/10…
69
Ujumbe wa Katibu Mkuu wa @UmojaWaMataifa @antonioguterres baada ya ripoti ya #EmissionsGap kuonesha ongezeko la joto linavuka 1.5°C 📌Kuvuka kiwango hakumaanishi kukata tamaa. 📌Lazima kupunguza kwa 6% uzalishaji wa hewa chafuzi kila mwaka hadi 2035 📌Nchi tajiri zitimize wajibu
1
1
3
81
Habari za UN retweeted
Kenya has confirmed nine Ebola cases, all within one known cluster. Eight patients are improving, and 134 of 135 contacts have been traced and quarantined. There is no evidence of transmission outside the group. For guidance, call 719. #EbolaAlertKE #KomeshaEbola
18
50
8
69
11,896
Wakati msimu wa baridi unapoanza, familia zilizohama makazi yao huko #Gaza zinajaza mchanga kwenye sandarusi tupu za unga uliotolewa kama msaada ili kuzuia maji ya mvua kuingia ndani ya mahema yao. @UNmigration @UNOCHA waeleza misaada bado ni changamoto Taarifa zaidi: @leahbtz
1
54
Baraza la Usalama la @UN limepitisha azimio la kuimarisha ulinzi wa watoto katika migogoro ya silaha likizitaka nchi kuzingatia sheria za kimataifa na kuzuia ukiukaji wa haki za watoto, ikiwemo vitendo vinavyochochewa na teknolojia za kidijitali duniani news.un.org/sw/story/2026/10…
4
5
82
Mvivu-miti au Slothi, ambao hutumia sehemu kubwa ya maisha yao kwenye miti, wanakabiliwa na hatari zinazoendelea kutokana na ukataji miti na uharibifu wa misitu. Jumanne #InternationalSlothDay, @UNEP inatoa taarifa zaidi kuhusu hatari zinazowakabili: un-redd.org/post/what-happen…
2
3
207