#NiYeye (@InnocentJLS) header
#NiYeye (@InnocentJLS) profile picture

Jesus is Able

Kiboroloni, Moshi, Tanzania
Joined October 2019
Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)Photo by #NiYeye (@InnocentJLS)
Bwana u sehemu yangu... 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
6
21
1
135
Hussen Mwinyi na Kasim Majaliwa mmoja wapo alifaaa mwaka jana akae pale. Licha ya Uccm wao ila wana kipawa cha uongozi.
4
112
Watanzania hii ni golden chance ambayo hatutokaa kuipata tena. Kutakuwa na wageni, hawawezi kujaza mabunduki barabarani, hawawezi kurusha risasi hovyo kuua watu…. Mechi ya kwanza ya AFCON NI SIKU YA MAANDAMANO YA AMANI YA NCHI NZIMA…….
Fursa imeongezeka! Lazima maandamano ya AFCON iwe kubwa kama makao makuu yatakuwa 🇹🇿👊🏽 #NoJusticeNoAFCON
51
216
2
1,233
61,152
Mimi nachojua ni kuwa pale Jangwani hakuna uwanja utajengwa pale. Hizi zote ni siasa tuu.
1
2
1
7
193
Huo mkataba wa kuipa GSM 50% ya umiliki wa uwanja wa Yanga milele, sikubaliani nao kabisa . Mkataba wa milele? Like seriously? Hii ni timu ya wanachama, haiwezi kufanya maamuzi ya aina hiyo bila kuangalia maslahi ya vizazi vijavyo.
19
15
97
4,344
#NiYeye retweeted
Angel Wariael, binti aliyejeruhiwa Oktoba 29, afariki dunia Muhimbili Dar es Salaam. Angel Wariael,13,  binti aliyekuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kutokana na kujeruhiwa na risasi kwenye matukio ya Oktoba 29 akiwa nyumbani kwao Manzese amefariki dunia. Hospitali imethibitisha kifo chake leo Novemba 18, 2026, kupitia Mkuu wa Kitengo cha Uhusiano na Mawasiliano, Irene Charles Mbonde, pamoja na taarifa kutoka kwa mmoja wa wanafamilia. Katika taarifa  kwa waandishi wa habari, Hospitali ya Taifa Muhimbili, (MNH) imetoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na wote walioguswa na msiba huo, ikiwaombea nguvu na faraja katika kipindi hiki kigumu. Oktoba 31, 2026, The Chanzo, iliripoti taarifa ya Angel na mama yake mzazi kuhitaji msaada ikiwemo wa  matibabu kutokana na hali ya afya yake iliyomsababisha kukatisha masomo. Kufuatia taarifa hiyo, alipatiwa msaada na kuanza matibabu Muhimbili hadi mauti yalipomkuta.
15
56
6
226
5,137
Tarehe 29/10/2025 Binti amepigwa risasi na Samia na kutelekezwa. Amekaa na maumivu yake nyumbani kwa mwaka mzima bila msaada lakini akiwa hai. Tarehe 30/10/2026 @TheChanzo wakatangaza habari zake na kumwombea msaada kwa wadau. Tarehe 31/10/2026 tukaambiwa amepata msaada na amepelekwa hospitali kuu ya taifa @MuhimbiliTaifa yenye kila aina ya wataalam, tena katikati ya jiji la Daresalaam. Tarehe 18/11/2026, wiki mbili baada ya “kupata msaada,” tunaambiwa AMEKUFA. Alikuwa hai mwaka mzima akiwa nyumbani, achilia mbali umaskini wake, lakini ghafla anapoteza maisha baada ya kwenda hospitali. Kuna mambo yanaibua maswali sana. Polisi nako ni hivi hivi. Raia anakuwa hai muda wote halafu akikamatwa tu na kuwekwa sero, kesho mnaambiwa “amefariki ghafla kwa shinikizo la damu.” Maeneo yaliyopaswa kuwa kimbilio la raia ndio yamegeuka kuwa machinjio. Raia kibao waliouawa pia baada ya Oct 29, haswa pale walipoenda kutafuta matibabu ya majeraha yao. Padre Kitima alitueleza wazi namna washenzi wa Samia walivyokuwa wanazunguka mahospitalini kuwinda raia wanaotafuta matibabu.
8
58
2
219
6,497
Kumbe sio Katiba Mpya ni Marekebisho ya Katiba?, mmh haya
2
2
17
376
Tujenge hoja juu ya DAMU ?, Waitara umelogwa?
VIDEO: "Tumekuwa na siasa za chuki mitazamo, tungejikita sana katika kujenga hoja kuliko kujenga chuki, kujenga hoja inaweza ikawafikisha sana mbali ni muhimu wanapozungumza ili pasiwe na malalamiko kwa sababu ni chama cha siasa waendelee kujikita kwenye hoja zao" Amesema Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara leo Novemba 17, 2026 akizungumza kwenye kipindi cha Jambo Asubuhi cha Jambo TV kiliachoanza saa tatu asubuhi mpaka saa tano asubuhi.
146
Madeleka anasema Zanzibar ni nchi na makosa yote ya jinai yana dhamana, hata mtu akiua anapata dhamana🤔
1
7
170
Ujumbe uwafikie wauwaji wote @Tanzaiite
7
53
1
259
8,054
Yanga wamejificha kwenye kivuli cha ugogoro wa Simba Mimi nauliza uwanja wa Yanga utajengwa lini?
4
250
Sema Sammy Awami naye ana balaa tena zaidi ya Kikeke anajua namna ya kuuliza Maswali kimkakati huku akicheka!! Hii Interview ya TAL Katisha sana 🙌🙌😂
9
23
2
413
15,525
Huyu kuweni nae makini
DADA ZANGU @mangekimambi na @MariaSTsehai NINYI NI WATU MLIOTUTANGULIA KWENYE HIZI HARAKATI, WAZO LANGU DADA ZANGU MNAONAJE TUKAWA NA KAULI MOJA KUTOKA KWENU KUELEKEA KUKABILIANA NA AFCON!! NAAMINI TUKIWA NA KAULI MOJA KIPINDI TUNAPAMBANA NA HAWA WADHALIMU ITAKUWA NA NGUVU SANA KAMA WANAHARAKATI WA TANZANIA.
176
Unajiona mwamba sana kushambulia dini mzee. Endelea tuu kaka
Wafia DINI Zimeni HISIA Washeni AKILI
1
4
164
Kwenye hili tunamuachia Mungu akuhukumu yeye. Kwahiyo kelele za wahubiri road zinakera kuliko kelele za machinga ? Fresh kaka.
Kwenye hili naweka tofauti zangu na yeye pembeni namuunga mkono.. next utaratibu utolewe kwa hawa wahubiri wa kwenye vituo vya daladala
1
1
163
#NiYeye retweeted
PhD inaongea sikiliza.
9
182
2
1,095
20,202
#NiYeye retweeted
Kaka @YerickoNyerereT tuseme ungekuwa ndugu wa Mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali, Polepole, Ben Sanane na wengine wengi unaowafahamu. Hawa vifo vyao vilichochewa na NANI? Ungetaka NANI afungwe au anyongwe? Kwa kuwa nakupenda sana, usijiachie sana kwenye masuala haya.
"Katika Vurugu alizohamasisha Tundu Lissu na Wenzake nilipoteza ndugu wawili, unafikiri Nina Maumivu Kiasi gani?"- Yericko Nyerere aliyewahi kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni 2025 Kwa tiketi ya Chaumma.
20
9
2
51
5,920
CHRIST. IS. KING.
78
1,343
33
12,149
127,342
1. Kwa JK pesa ilipigwa, lakini walioipiga hawakuwa na showoff sana, na waliingiza mtaani kwa kiasi na ule mzunguko ukawafikia na wateule wachache. 2. Kwa Banza pesa ilipigwa zaidi kuliko kwa JK, tena ilipigwa kibabe mno, lakini na kikundi cha watu wachache tu. (Push Gang) and a few elites walionunuliwa ku~join the move! Na hapo ndipo kukazaliwa tabia ya #Uchawa as a way ya kukutana na hizo pesa. Lakini hawa hawakuileta pesa mtaani, walibaki na vibunda vyao majumbani na mtaani vyuma vikakaza kweli!! 3. Kwa 🧕 sio tu imepigwa pesa…NO! Ni limemwagika BEGI, kwa lugha nyingine tunasema limeshuka kontena, wahuni tunaliita Teke la Van~Dame!! Bag 💰 hili liko chini ya familia. Hawa sasa wamekuja kitofauti kabisa, kwanza wana show-off, wana~spend mno kwa matumizi yao binafsi na sio uma…. And they don’t give an “F” Yes, hawajali, hawaogopi. Hawa formula yao ni…. You’ll only eat if you’re in their circle. Ukiwa mtaani basi chain hii itakufikia kama tu uko kwenye circle yao na unaongea lugha yao. Kinyume na hivyo wewe ni adui kwao, hutakula na watakushambulia kama adui! Kingine hawa wa sasa ni wakatili sana, as a way ya ku-secure bag lao. #NB Ukatili huu waliurithi kutoka awamu ya Banza, lakini wao wameu-double. Ndio tupo hapo sasa 2026!!! Hatupendi, hatutaki na haikubaliki mpige pesa zetu. Ndio maana tunawakemea!! Lakini basi angalau mkishazipiga msizifanyie matumizi binafsi….zirudisheni mtaani mlisaidie taifa. Fufueni na jengeni viwanda vipya then ajirini maHomeboy wangu walipeni vizuri wazalishe products, huku na wao wanafanya maisha. Degree holders tupo nao kitaa asubuhi tunaendesha TukTuk 🏍️ jioni tuna~bet……….hii sio kweli maisha gani haya!! Jengeni sports academies bora kila mkoa, kuzeni vipaji madogo wapungue mtaani wawe busy na wapate ajira. Kuna mabinti hawapendi kudanga ni dhiki tu na kukosa fursa, wana ndoto, ni wamekosa tu pakuanzia!! Jengeni masoko na mall za kisasa, wapeni vizimba na mitaji waanzishe biashara… wapeni nguvu za kujitafutia Nunueni hata mabus basi special kwa wanafunzi tu, watoto wetu kuwapeleka shule bure, tuwaepushe na changamoto za usafiri, mtatupunguzia wazazi stress…. mbona inawezekana chap kwa tu! Doing so👆mtapunguza sana kelele,lawama hasira na chuki mtaani. And last but not least, msiteke,Msiue,Msifunge wasio na hatia….!!
82
225
7
1,606
91,164
If you fail once, twice, three times, it doesn't matter. Learn from your mistakes and push forward to VICTORY-the sweetest feeling there is!
824
23,499
1,274
78,395