Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Unadhani Mungu angekuruhusu upitie yote haya kama hakuwa na jambo kubwa amekuandalia? Vumilia kidogo. Zamu yako inakuja 🙏🏽
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Ukifanikiwa kwenye maisha, usiwaone ambao bado ni wavivu au hawafanyi kwa viwango. People are trying ila ndiyo muda bado au bahati haiwi tu upande wao.
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Happy #MHDay2026 🩸🌍
Too many girls still experience shame, silence, stigma, and exclusion because they menstruate. Menstrual hygiene is about dignity, education, confidence, wellbeing, and freedom.
Building a #PeriodFriendlyWorld means ensuring girls can learn, lead, and exist without shame.
What does a #PeriodFriendlyWorld mean to you? 👇🏾
#MenstrualHygieneDay #EndPeriodStigma
Hedhi haipaswi kusitisha ndoto zao za kielimu. Siku hii ya Hedhi Duniani, tunapaza sauti: Kuboresha miundombinu ya shule zetu ni kulinda utu na mustakabali wa binti wa Kitanzania! 📚💧#MenstrualHygieneDay #HedhiSalama #TokomezaUnyanyapaa
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Replying to @JenniferKayombo
Nahisi sababu wanaoteseka ni watoto masikini.
Laiti wangefahamu namna Wasichana wanavyotega shule na kuingia kwenye vishawishi kwa kukosa tu pedi au vyoo safi na maji salama hili pia lingekuwa kipaumbele #SikuYaHedhiSalama
Tunaelekea kuadhimisha #SikuYaHedhiSalama lakini bado tunazungumzia changamoto zile zile miaka nenda rudi na bado hatuzipi kipaumbele kuzitatua. Hii ni hatari zaidi sababu hatuwezi kuwasaidia wasichana kwa namna hii.
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Tungekuwa na uwezo wa kuzuia changamoto zisitupate wengi wetu tungefanya hivyo ila haiwezekani.
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
"Fanya uwezavyo katika maisha yako na haswa katika watu wako wa karibu uwe na walau mtu mmoja anayeweza kukuuliza maswali magumu, machungu na usiyoyapenda." ~Togolani Mavura.
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Ndugu zangu karibuni tuwachangie mabint zetu chochote tulichonacho
@anuskills3 @amprincess9 @CharlieBihemo @BillyTronix1 @Makaveli_255 @Zephania_Ndaki @ClaraFundi @fredkavishe @MiriamMkanaka @McinikaWaLamar
Changia Ujenzi wa Maisha Bora kwa Watoto wa Kike! 🌸
@MsichanaUwezo inajenga sehemu salama kwa wasichana kustawi na kujifunza.
Changia sasa: +255 754 251 022
kidogo au kikubwa unachotoa unabadilisha maisha!
Naomba niwachallenge
@EsirEid @Thommunkondya @INFLUENCERjr karibuni.
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Are You?
Upo Tayari?
#DadaMkuu
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Woman to woman:
Take your financial situation very serious, the world can be very unforgiving and cruel to poor women- si unaona hata humu ndani wanavo sakamwa?
Pambana mwaya! Kidogo kidogo tutafika.
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Hakuna aibu yoyote if you approach watu unadhani wanaweza kukusaidia kufika mahali.
Haijalishi how negative it can be, but keep knocking them doors.
Kuna ambao watafungua, trust me.
Uko sahihi😃
Ningekuwa Marketing Manager wa Ile Bank ya Kijani, Mwakani ningekuja na Idea zile mbio zikakimbiwe Mkoani, sio mbaya zikaenda kule walipo wenzao. Kama watahitaji kupata visibility yakutosha kama wenzao, nikuja na idea tu nzuri maana wakimbiaji ni walewale.
Cc; @franklin_tissa
Jennifer Kayombo🌙🕋 retweeted
Happy International Youth Day
Today, we honor the strength, creativity, and resilience of young people who are shaping a better tomorrow.
At Dada Mkuu Initiative, we believe that when youth are empowered with the right knowledge, skills, and support, they become unstoppable.































